TLS yataka Rais wake akae miaka 3

TLS yataka Rais wake akae miaka 3

Makambako1

Member
Joined
Jan 17, 2020
Posts
25
Reaction score
38
Chama cha Wanasheria Wa Tanganyika (TLS) wamewasilisha mapendekezo yao kwa Kamati ya Sheria ya Bunge wakitaka muda wa kuwa madarakani kwa viongozi wake uwe miaka mitatu badala ya mwaka mmoja.

Pia wamependekeza mkutano mkuu uendelee kuwa kwa wanachama wote badala ya Mapendekezo ya Kamati kuwa uwe wa wawakilishi wa Kanda na Mikoa pekee.

Chanzo: Gazeti la Mwananchi
 
Back
Top Bottom