Wanacheza rafu kupotezea yaliyotokea Kisutu,kwa spidi hii TRA wanaenda kuzidiwa na mahakama kwa makusanyo endapo kesi za uchochezi zikiamuliwa kila kosa 10M.Hii ni vema ikaunganishwa na uzi mwingine nilioweka hapa kitambo .
Halafu utambue kwamba Magufuli si mgombea urais wa ccm , hajapitishwa na kikao chochote cha ccm , na kuna tetesi kwamba hatopitishwa na ccm
Tutapigwa sana,wapinzani maslahi kama TLP & co nao wameona fursa.