Uchaguzi 2020 TLP yatangaza kuungana na CCM. Yamteua Rais Magufuli kuwa mgombea Urais Oktoba 2020

Hii ni vema ikaunganishwa na uzi mwingine nilioweka hapa kitambo .

Halafu utambue kwamba Magufuli si mgombea urais wa ccm , hajapitishwa na kikao chochote cha ccm , na kuna tetesi kwamba hatopitishwa na ccm
Wanacheza rafu kupotezea yaliyotokea Kisutu,kwa spidi hii TRA wanaenda kuzidiwa na mahakama kwa makusanyo endapo kesi za uchochezi zikiamuliwa kila kosa 10M.
Tutapigwa sana,wapinzani maslahi kama TLP & co nao wameona fursa.
 
TLP KUUNGANA NA CCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha TLP imesisitiza kuwa chama hicho hakitasimamisha mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, badala yake chama hicho kitamuunga Mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli pindi atakapopitishwa na Chama Chake.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho Augustino Lyatonga Mrema amesema maamuzi ya halmashauri kuu ya TLP yanafuatia chama hicho kuridhishwa na mwenendo wa utawala wa Serikali ya awamu ya Tano.

Maamuzi ya TLP kumuunga mkono JPM kwenye uchaguzi wa 2020 inaweza kuwa na faida kubwa kwa TLP yenyewe kuliko hata CCM.

Sidhani na siamini kama CCM inahitaji kura chache za wanachama wa TLP, bali ninachodhani TLP wanahitaji nguvu na anagalau majimbo mawili matatu kwa nguvu ya CCM.

Hii ndio siasa bwana, ukikaza mashindano mwenzio anajenga muungano anakupiga bao.

Kama naona 2020 kwa mara nyingine TLP chama kilichokuwa mfu kinapata angalau kata na majimbo mawili.

Ukiona huna nguvu wewe ungana na mwenye nguvu baadae utapata nguvu.

UKAWA kuna tamaa kubwa muungano wao ni wa Kinafiki

Sina chama najaribu kuchambua muelekeo tu, usinicopy vibaya.
Ile itqaf aliyosomewa mwembechai wakati uleee ndiyo sasa imechanganya
FB_IMG_1583931930552.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mzee badala uzee wake amrudie mungu bado tu anang'ang'ania tu siasa,Ila nao hao viongozi wa Ccm ambao leo hii wanawabana wenzao wakumbuke na wao iyo hali aliyokuwa nayo Mrema itakuja kuwapata tu
 
TLP KUUNGANA NA CCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha TLP imesisitiza kuwa chama hicho hakitasimamisha mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, badala yake chama hicho kitamuunga Mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli pindi atakapopitishwa na Chama Chake.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho Augustino Lyatonga Mrema amesema maamuzi ya halmashauri kuu ya TLP yanafuatia chama hicho kuridhishwa na mwenendo wa utawala wa Serikali ya awamu ya Tano.

Maamuzi ya TLP kumuunga mkono JPM kwenye uchaguzi wa 2020 inaweza kuwa na faida kubwa kwa TLP yenyewe kuliko hata CCM.

Sidhani na siamini kama CCM inahitaji kura chache za wanachama wa TLP, bali ninachodhani TLP wanahitaji nguvu na anagalau majimbo mawili matatu kwa nguvu ya CCM.

Hii ndio siasa bwana, ukikaza mashindano mwenzio anajenga muungano anakupiga bao.

Kama naona 2020 kwa mara nyingine TLP chama kilichokuwa mfu kinapata angalau kata na majimbo mawili.

Ukiona huna nguvu wewe ungana na mwenye nguvu baadae utapata nguvu.

UKAWA kuna tamaa kubwa muungano wao ni wa Kinafiki

Sina chama najaribu kuchambua muelekeo tu, usinicopy vibaya.
Hope hawa wa TLP wako on the "right truck" . Wahenga walisema hivi " If you can't fight him, join him"
Alafu wameshaona hata wakiunga mkono UKAWA, Mh.Mbowe hawakumbuki kuwapa nafasi za waziri kivuli Bungeni anachagua wa Chadema tuu, sasa hapo faida ya kuungana UKAWA iko wapi?
 
TLP akili zao zinawatosha wanachama wao tu, huwezi muunga mtu mkono ama kumteua ili hali sio mwanachama wako au mteule wa chama chake tayari; SASA swali zuri liliulizwa na Hassan NGOMA je iwapo CCM wasimteue itakuwaje?

WANGESUBIRIA ATEULIWE WAMUUNGE MKONO, too much of Kujipendekezea may ruin our love for JPM. maana wanatoa maneno kama kwamba wanamlipa fadhila, ambazo kwa kweli hazihitaji ili kushinda URAIS believe me, we love him and it is not for them to Shout NONSENSE

TLP KUUNGANA NA CCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha TLP imesisitiza kuwa chama hicho hakitasimamisha mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, badala yake chama hicho kitamuunga Mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli pindi atakapopitishwa na Chama Chake.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho Augustino Lyatonga Mrema amesema maamuzi ya halmashauri kuu ya TLP yanafuatia chama hicho kuridhishwa na mwenendo wa utawala wa Serikali ya awamu ya Tano.

Maamuzi ya TLP kumuunga mkono JPM kwenye uchaguzi wa 2020 inaweza kuwa na faida kubwa kwa TLP yenyewe kuliko hata CCM.

Sidhani na siamini kama CCM inahitaji kura chache za wanachama wa TLP, bali ninachodhani TLP wanahitaji nguvu na anagalau majimbo mawili matatu kwa nguvu ya CCM.

Hii ndio siasa bwana, ukikaza mashindano mwenzio anajenga muungano anakupiga bao.

Kama naona 2020 kwa mara nyingine TLP chama kilichokuwa mfu kinapata angalau kata na majimbo mawili.

Ukiona huna nguvu wewe ungana na mwenye nguvu baadae utapata nguvu.

UKAWA kuna tamaa kubwa muungano wao ni wa Kinafiki

Sina chama najaribu kuchambua muelekeo tu, usinicopy vibaya.
 
TLP KUUNGANA NA CCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha TLP imesisitiza kuwa chama hicho hakitasimamisha mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, badala yake chama hicho kitamuunga Mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli pindi atakapopitishwa na Chama Chake.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho Augustino Lyatonga Mrema amesema maamuzi ya halmashauri kuu ya TLP yanafuatia chama hicho kuridhishwa na mwenendo wa utawala wa Serikali ya awamu ya Tano.

Maamuzi ya TLP kumuunga mkono JPM kwenye uchaguzi wa 2020 inaweza kuwa na faida kubwa kwa TLP yenyewe kuliko hata CCM.

Sidhani na siamini kama CCM inahitaji kura chache za wanachama wa TLP, bali ninachodhani TLP wanahitaji nguvu na anagalau majimbo mawili matatu kwa nguvu ya CCM.

Hii ndio siasa bwana, ukikaza mashindano mwenzio anajenga muungano anakupiga bao.

Kama naona 2020 kwa mara nyingine TLP chama kilichokuwa mfu kinapata angalau kata na majimbo mawili.

Ukiona huna nguvu wewe ungana na mwenye nguvu baadae utapata nguvu.

UKAWA kuna tamaa kubwa muungano wao ni wa Kinafiki

Sina chama najaribu kuchambua muelekeo tu, usinicopy vibaya.

TLP hakijitambui. Ukiwa chama cha upinzani lengo ni lazina kushika Dola. Kama huna lengo hilo huna maana yeyote ya kuwa chama cha upinzani. Mrema na TLP yake waseme tu kuwa hawana ubavu wa kushika Dola. Hivyo ni chama mufilisi kisiasa.
 
TLP KUUNGANA NA CCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha TLP imesisitiza kuwa chama hicho hakitasimamisha mgombea wa nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, badala yake chama hicho kitamuunga Mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli pindi atakapopitishwa na Chama Chake.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama hicho Augustino Lyatonga Mrema amesema maamuzi ya halmashauri kuu ya TLP yanafuatia chama hicho kuridhishwa na mwenendo wa utawala wa Serikali ya awamu ya Tano.

Maamuzi ya TLP kumuunga mkono JPM kwenye uchaguzi wa 2020 inaweza kuwa na faida kubwa kwa TLP yenyewe kuliko hata CCM.

Sidhani na siamini kama CCM inahitaji kura chache za wanachama wa TLP, bali ninachodhani TLP wanahitaji nguvu na anagalau majimbo mawili matatu kwa nguvu ya CCM.

Hii ndio siasa bwana, ukikaza mashindano mwenzio anajenga muungano anakupiga bao.

Kama naona 2020 kwa mara nyingine TLP chama kilichokuwa mfu kinapata angalau kata na majimbo mawili.

Ukiona huna nguvu wewe ungana na mwenye nguvu baadae utapata nguvu.

UKAWA kuna tamaa kubwa muungano wao ni wa Kinafiki

Sina chama najaribu kuchambua muelekeo tu, usinicopy vibaya.
Wanajuaje kwamna CCM watamteua Magufuli kugombea? Maigizo mengine bwana!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom