TLP Tumejipanga kuchukua nchi 2015.

TLP Tumejipanga kuchukua nchi 2015.

Mh kama mwenyekiti wa chama tu anashika nafasi ya tatu kwenye uchaguzi wa ubunge itakua uraisi? Anyway wazungu wanasemaga "If you are going to dream then dream big".
 
Mrema alihongwa ubunge na CCM
Mrema alimpigia kura Kikwete
TLP sio chama cha upinzani, ila ni Branch ya CCM
I hate u snitch wa TLP na Mrema.
miaka_50.jpg
Mikakati tuliyoiandaa sisi wana tlp hakuna wa kutuzuia kuingia ikulu 2015, na tutaichukua nchi hii sisi na ikulu tutaingia mchana kweupe vyama vyote vikituangalia kikiwemo ccm.

Moja ya mikakati hiyo ni kuwafunza uadilifu makada wetu.
wakatae rushwa na wasiwe na tamaa ya mali.

Nitaendelea kuwajua mikakati yetu siku baada ya siku, TLP lazima uipende tu ........
 
Hivi unaongelea nji gani eti?.
 
Tusiidharau TLP bana, kuna mwaka ilitokea pale SARANDA Mbuzi alikula reli treni ikashindwa kupita,,, wakati watu wanatafakari mbuzi kula reli, Sisimizi akameza DAFU...

Yaaa TLP wanaweza kuingia Ikulu...
 
mbona ile ofisi yao imebomolewa na kampuni ya STRABARG pale Magomeni
 
...wataalam wa kiswahili tunaomba mtudadavulie matumizi mazuri ya hii sentensi "kuchukua nchi"...huku mtaani ukisikia mtu anamchukua mke wa mtu,humaanisha kuwa huyo mtu anatabia mbaya ya kufanya mapenzi na mke wa mtu,sasa hawa TLP wanataka kuichukua nchi ili waifanyeje?...
 
CHEKA MBAYAAA HADI FAMILIA INANISHANGAA!
Ila kila laheri, mimi nawatakia mafanikio kataika nia yenu ya kuchukua INJI HII.
 
Hata cdm hawatofautiani sana na nyie ktk ndoto za abunuasi
 
Back
Top Bottom