Title ya udaktari ya marais na viongozi wengine


B

bugzbunny

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Messages
629
Likes
225
Points
60
B

bugzbunny

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2013
629 225 60
Nimekuwa nikijiuliza mbona obama anazo honorary doctorates nyingi sana? Mzee Mandela ndio usiseme, ni zaidi ya 50, lakini huwezi kusikia hata siku moja walijiadress kwa title ya udaktari labda kama ni profeessional area, sasa iweje mtu huku kwetu anako kamoja labda au tuwili twakutunukiwa anakomaa kila mahali dakta dakta! Huu ulimbukeni ni kwanini sasa? Au kukujiamini?
 

Forum statistics

Threads 1,272,352
Members 489,924
Posts 30,448,280