love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Aisee mi nimegundua hii kuwa TITI LA MAMA NI TAMU HATAKAMA NI LA MMBWA! Sijui wewe ukiangalia watoto wadogo/wachanga wa binadamu na wanyama sijui umekuwa makini kuona wanavyoijoiii...
Aisee mi nimegundua hii kuwa TITI LA MAMA NI TAMU HATAKAMA NI LA MMBWA! Sijui wewe ukiangalia watoto wadogo/wachanga wa binadamu na wanyama sijui umekuwa makini kuona wanavyoijoiii...
Naona umegundua baada ya kumsikia Hemed Kivuyo mda si mrefu katika habari za michezo.. ila kila la heri katika ugunduzi wako.
huyo ni shaaban robert ndio alidai hivyo na wala hakuwa anamaanisha hivyoAisee mi nimegundua hii kuwa TITI LA MAMA NI TAMU HATAKAMA NI LA MMBWA! Sijui wewe ukiangalia watoto wadogo/wachanga wa binadamu na wanyama sijui umekuwa makini kuona wanavyoijoiii...
Shairi zuri la shaaban robert linalofafanua mawazo ya mshairi kuhusu thamani ya lugha hii ni lile la kutoka katika kitabu chake, 'Pambo la Lugha'. Ubeti mmoja wa shairi hilo unasema:Aisee mi nimegundua hii kuwa TITI LA MAMA NI TAMU HATAKAMA NI LA MMBWA! Sijui wewe ukiangalia watoto wadogo/wachanga wa binadamu na wanyama sijui umekuwa makini kuona wanavyoijoiii...
Aisee mi nimegundua hii kuwa TITI LA MAMA NI TAMU HATAKAMA NI LA MMBWA! Sijui wewe ukiangalia watoto wadogo/wachanga wa binadamu na wanyama sijui umekuwa makini kuona wanavyoijoiii...