hahahah! Kiduku ni mziki mwingine kabisa sio rahisi kuucheza!, anayo madude akirusha moja pale new york city athari zake zitasomwa hadi miaka 1000 huko mbele.
Marekani atashindwa kukudaka kama wananchi wako wanakussuport. Kiduku akae vizuri na Raia wake akijifanya ananyuklia huku ananyanyasa raia wake wamarekani wanakunyakua tu.
Kwa tanzania sasa hivi tulivyogawanyika hata kagame akiamua kutufuatilia tutamshindwa. Umoja wa kitafa ndo mlinzi namba moja wa nchi wala so SMG mnazobeba mabegani. Hao TISS wanadhani kuwateka na kuua raia ndo kuimarisha ulinzi wa nchi, hii inafanyakazi kwa muda mfupi sana kwa kiongozi aliye madarakani. Raia wakigawanyika kuhusu matukio kama hayo nchi inakuwa sio salama tena mbele ya maadui wa nje.