They are supposed to put on halt whatever jeopardizes the country from outside or within, even by using dark art.As far as I am told their role is to advice the Government of the day. If the recipientof whatever does not ACT as per their advice or recommendation, It becomes therefore NONE of their business
As far as Katiba is concerned they are not an enforcement agency.as per se.
Personally I have not understood you! Which TISS are you talking about hear TISS ile ya Tanzania Institute of Social Scientists au TISS hii ya Usalama wa Taifa? Fafanua tukujuze!should we amend our constitution? and give them power to intervene whatever is causing our Nation to head backward?
bcoz I'm told that their primary responsibility is to collect and handle collected info to the Head of state, further more their role is to advance Tanzania chief comforter and nothing else.
tutaelewana hivyo hivyo lugha ilikuja na meli. My opinion.
Usilete kejeli kwenye mijadala muhimu !Ze mleta mada shidu bringi zizi in lugha ya taifa kila mtu afidike.
Ama was it a preserve and meant for a certain CLASS of people?
hiyo ya pili. kuitaja hapoPersonally I have not understood you! Which TISS are you talking about hear TISS ile ya Tanzania Institute of Social Scientists au TISS hii ya Usalama wa Taifa? Fafanua tukujuze!
So "does it really matter ? "That is a philosophical question?
I can't think on your behalf sir!!
Politics over everything, that is our biggest night mare!All nations are built by heroes
Heroes who agree to be at the sideline of history.Fallen heroes whose name and praises can never be celebrated.People whose identity shall go into oblivion.
I am looking at the Tanzanian Intelligence Agency with their marvel and outstanding performance and I am left with only one question....What is their role in whatever is going on now.
Yes.As a nation we are at the point where everything is not what it is nor what it seems to be and people need answers to questions that should never have been asked in the first place.
My question today is on the role of our security machineries in the current political conondrum
I remain to be corrected
PBK
Kama ni hii ya Usalama wa Taifa, subiri haya unayotaka kujua utayajua baada ya miaka 50 kwani hapo ndipo yatakapo wekwa wazi for public consumption. Hiyo ndivyo ilivyo kwa mambo ya siri kama sheria yetu ya siri za Taifa na usalama wa Taifa. Vinginevyo tufanye ubabaishaji tu juu ya uzi huu! Au siyo?hiyo ya pili. kuitaja hapo
kama ulisoma mstar wa kwanza nilianza na je tuibadili katiba yetu ili kuwawezesha/kuwapa meno ili wawe na uwezo wa kuingilia na kuharibu chochote kinacho sababisha nchi yetu kurudi nyuma?Kama ni hii ya Usalama wa Taifa, subiri haya unayotaka kujua utayajua baada ya miaka 50 kwani hapo ndipo yatakapo wekwa wazi for public consumption. Hiyo ndivyo ilivyo kwa mambo ya siri kama sheria yetu ya siri za Taifa na usalama wa Taifa. Vinginevyo tufanye ubabaishaji tu juu ya uzi huu! Au siyo?
ANYWAY LABDA KISWAHILI KINAMSUMBUA KAMA VP MSAADA MTU KUTAFASIRI TAFADHALI,you mleta MADA; this is jukwaa la kiswahili ;therefore tafsiri your thread to lugha ya taifa la tanzania
Labda. Lakini nadhani wakishauri na ukikubali ushauri wao, nani anatekeleza? Nadhani wanapewa madaraka na mamlaka ya kutekeleza kadri ya maagizo ya mkuu wao.kama ulisoma mstar wa kwanza nilianza na je tuibadili katiba yetu ili kuwawezesha/kuwapa meno ili wawe na uwezo wa kuingilia na kuharibu chochote kinacho sababisha nchi yetu kurudi nyuma?
kwa sbb kazi zao "nasikia" ni kukusanya taarifa kuziwasilisha panapo husika na kushauri tu. hata wakute twiga anasafirishwa watapiga picha tu na kumwambia mkuu kilicho tokea mengine wanaachana nayo
Unaitwa ukweli mchungu wenye uhalisi wakiambiwa watu ooh mnahusudu weupe wkt ni fact true, adui no 1 wa mwafrica ni mwafrica mwenzake,we uoni polisi anapiga mtu asie Na silaha na aliyethibitiwa hata kuuwa nyoka kuna nafuu.Mkoloni mweupe mmoja aliwahi waambia wenzake hawa wanataka Uhuru wapeni Lkn hawatofika mbali kuzidi tulivowafikisha mbali wataishia kuuwana,kupora mali na kuzificha kwetu,Kwa sasa watu wanasadiki ya kwamba,vita vya ukombozi kumbe ilikuwa ni hadaa ya wachache kupata sapoti ya wengi wawafukuze wakoloni weupe, ili wao wakalie nafasi zao,ni kweli ukoloni ungalipo hata sasa kilichobadilika ni rangi, yote yaliyofanywa Na weupe yanafanya maradufu Na wakoloni weusi hata sasa kuuwa wanaowakosoa,kuiba mali za umma na kuficha ulaya,nk.Maisha ya mwafrica yamerudi nyuma yamekuwa ya hovyo sana baada ya Uhuru ni 10% ndo wenye kufurahia Uhuru,90% wako kwenye lindi La umasikini, ujinga,na maradhi,ukosefu wa utawala bora,ukiweza ishi Africa utoshindwa ishi jehanamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli ni shida sana. Jembe letu kali.
Leo Marais wetu wastaafu wakiwa na wake zao wameshuka kutoka kwenye Dreamliner 787 …
View attachment 843454
Sent using Jamii Forums mobile app
It must reach a time when we should refrain from discussing this important state organ in public. Their modus Operandi doesn't allow them to share what they know in public and in that case, we will always be left with unmet curiosity even if we happen to live for 200 years.
Sawa mkuu.So "does it really matter ? "
Samahani.Usilete kejeli kwenye mijadala muhimu !
Okay I did not know that?They are supposed to put on halt whatever jeopardizes the country from outside or within, even by using dark art.