Tatizo lenu nyie wahuni wa MATAGA na Praise Team ni kuangalia kila jambo kwa kutumia miwani ya mbao ya "tupo vizuri." Tishio la ugaidi ni endelevu, na ndio maana nchi za wenzetu zina utaratibu wa wazi kuhusu TERROR LEVEL. Kwahiyo kama hamtaki "ukarimu" kama huo mliofanyiwa na CIA na kutangaza na Ubalozi wa Marekani basi acheni kushinda mtandaoni kusaka nani kasema nini na mtengeneze Terror Level yenu. Otherwise you need to shut the f*ck up pindi wanaojua na kuzungatia taaluma ya intelijensia wanapotoa taarifa za kiusalama.
Kuhusu Ebola, nadhani ugonjwa huo ushaingia vichwani mwenu kitambo maana mngekuwa na akili nzuri mngeangalia handling ya Uganda kwa mfano kuhusu ugonjwa huo. Tanzania ni jirani na DRC ambayo imegubikwa na Ebola. Kwahiyo tishio la Ebola Tanzania sio mzaha bali lipo hasa. Kwamba ugonjwa huo haujaingia Tanzania ni habari njema lakini jitihada zielekezwe kwenye kudhibiti usiingie Tanzania badala ya kufanya mzaha wa kisiasa na kudai ni mbinu za Mabeberu.
Itafika mahala CIA au MI6 watakuwa na taarifa kuhusu tishio la ugaidi na balozi za US au UK zikaamua kukaa kimya, ndio mtashika adabu. Na hilo bifu mnaloendeleza na WHO mwombee tu kusitokee mlipuko wa maradhi maana sijui mtaweka wapi aibu yenu kuomba msaada kwa Mabeberu.
View attachment 1224506