Tishio la Ugaidi liliishia wapi? Kwa sasa ni Ebola!

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,051
Tarehe 18, Juni 2019 tuliamka na kukutana na tangazo kutoka katika Ubalozi wa Marekani likitutarifu kuwa tujiandae wakati wowote kwa shambulio la Kigaidi litakalo tokea muda wowote katika Maeneo ya Masaki kwenye hoteli za kitalii na maduka yaliyoko kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi.

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania ilimuita Kaimu Balozi wa Marekani wizarani ambapo alikiri Ubalozi ulifanya makosa kutoa tetesi ambazo hazikuwalenga raia wa Marekani pekee bali raia wote, wakitambua kuwa ubalozi hauna mamlaka ya kufanya hivyo, jambo lililosababisha taharuki kwa wananchi na wageni wanaotarajia kuitembelea Tanzania.

Baada ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kusimama kidede, tishio la Ughaidi lilipotea. Huu ni mwezi wa 10 tokea taarifa ya Ubalozi wa Marekani yenye maudhui yaliyobeba maneno, ‘’imminent terrorist attack’’.

Marekani hutoa taarifa tu ambazo zina maslani yao. Mfano. Kwa muda mrefu Marekani walikuwa wanataka kuweka kituo kikubwa cha kivita nchini Kenya lakini wananchi wengi na wanasiasa walikuwa wanapinga. Al-Shabaab ikatumika kama ‘’bargaining power’’.

Marekani walijua kuna njama za mashambulio ya Al-shabaab nchini Kenya lakini waliamua kukaa kimya bila kutoa taarifa ili watakaposhambulia iwe ni rahisi kwa wananchi na wanasiasa kukubali marekani waweke kituo kikubwa cha kivita ili kuwalinda. Leo hii Wamarekani wanajenga kituo kikubwa cha kivita nchini Kenya baada ya mashambulio ya Al-shabaab.

Kwa sasa kumeibuka tena tahadhari ya ugonjwa wa ebola ambayo walewale waliosema kuna ‘’imminent terrorist attack’’ wanatumia mbinu zote ili kuifanya serikali iingie kwenye mtego wa kisiasa.

Siku serikali ikifungua mlango na kuruhusu waingie kufanya utafiti nchini itakuwa ni siku ambayo kutaanza kuibuka kesi nyingi za watu wenye ebola nchini kwa sababu watu watapandikizwa virus vya Ebola.

Ebola ni ugonjwa wa kupandikizwa na kibaya zaidi unapandikizwa katika maeneo ambayo yana rasilimali asili nyingi! Mfano Sierra Leone, Liberia na Kongo ili kuleta taharuki, wafanye utafiti na kuchukua malighafi asili lakini kikubwa zaidi kunufaisha makampuni makubwa ya madawa katika nchi za Ulaya na Marekani.

Kinachofanyika kwa sasa ni kile waingereza husema, ''Cat and mouse political game’’.

Nani atatoka mshindi na kwa muda gani?
 
Attachments

  • VID-20190926-WA0027.mp4
    8.7 MB

Kwahiyo Tanzania ina raslimali nyingi mpaka ipandikiziwe Ebola? Duuu, bado kuna watu huwa mnawalisha hii mitazamo ya kizee?
 
Kuna ukwel flani kwenye hili, Usa na mataifa ya magharibi huwa wanatumia this kind of tactics pale wanapokuwa wanahitaji vitu flani ambavyo vina manufaa kwao.

Pamoja na hayo ni vema akili ikatumika zaidi kudeal na hawa watu na sio kutunisha misuli.
 
Kutoa tahadhali ni bora zaidi,kwa kutoa tahadhali kuna uwezekano shambulio lilizimwa/liliahirishwa.Usisahau kuwa Tanzania haina uwezo wa kuzuia/kutambua dalili za ugaidi.Ugaidi na ebol vyote vina dalili zake.Kwa hiyo tuwaache wataalam na tukipinga tupinge kwa hoja.Mbona serikali ikisema uchumi umepanda 7%mnachekelea wakati kiuhalisi ni -3%?
 
shida ni majibu wanayotoa baada ya kuwekwa kwenye kikaango.umesikia majibu aliyotoa yule mwakilishi juzi!!!

hawa watu wakikwambia 3,usishike hata moja.
 
Mmmh! Sawa.ni mtazamo tu
 
Uzuri wa Magufuli ni mtu asieyumbishwa haijalishi tutapata tabu ya maisha kiasi gani atajitahidi kusimamia analoliamini..Marekani ni taifa la hovyo sana yaani
Tuone huu ''mtanange'' utaishia wapi? Nani atashinda!
 
Wazungu ni watu wenye roho mbaya sana. Mimi huwa nawashangaa na kuwaonea kinyaa watu wanaowashobokea wazungu.
 
Kumbe kuna wengine katika uongozi ngazi ya juu wanakubakliana na fikra zangu!
 
Tarehe 18, Juni 2019 tuliamka na kukutana na tangazo kutoka katika Ubalozi wa Marekani likitutarifu kuwa tujiandae wakati wowote kwa shambulio la Kigaidi litakalo tokea muda wowote katika Maeneo ya Masaki kwenye hoteli za kitalii na maduka yaliyoko kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi.

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania ilimuita Kaimu Balozi wa Marekani wizarani ambapo alikiri Ubalozi ulifanya makosa kutoa tetesi ambazo hazikuwalenga raia wa Marekani pekee bali raia wote, wakitambua kuwa ubalozi hauna mamlaka ya kufanya hivyo, jambo lililosababisha taharuki kwa wananchi na wageni wanaotarajia kuitembelea Tanzania.

Baada ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kusimama kidede, tishio la Ughaidi lilipotea. Huu ni mwezi wa 10 tokea taarifa ya Ubalozi wa Marekani yenye maudhui yaliyobeba maneno, ‘’imminent terrorist attack’’.

Marekani hutoa taarifa tu ambazo zina maslani yao. Mfano. Kwa muda mrefu Marekani walikuwa wanataka kuweka kituo kikubwa cha kivita nchini Kenya lakini wananchi wengi na wanasiasa walikuwa wanapinga. Al-Shabaab ikatumika kama ‘’bargaining power’’.

Marekani walijua kuna njama za mashambulio ya Al-shabaab nchini Kenya lakini waliamua kukaa kimya bila kutoa taarifa ili watakaposhambulia iwe ni rahisi kwa wananchi na wanasiasa kukubali marekani waweke kituo kikubwa cha kivita ili kuwalinda. Leo hii Wamarekani wanajenga kituo kikubwa cha kivita nchini Kenya baada ya mashambulio ya Al-shabaab.

Kwa sasa kumeibuka tena tahadhari ya ugonjwa wa ebola ambayo walewale waliosema kuna ‘’imminent terrorist attack’’ wanatumia mbinu zote ili kuifanya serikali iingie kwenye mtego wa kisiasa.

Siku serikali ikifungua mlango na kuruhusu waingie kufanya utafiti nchini itakuwa ni siku ambayo kutaanza kuibuka kesi nyingi za watu wenye ebola nchini kwa sababu watu watapandikizwa virus vya Ebola.

Ebola ni ugonjwa wa kupandikizwa na kibaya zaidi unapandikizwa katika maeneo ambayo yana rasilimali asili nyingi! Mfano Sierra Leone, Liberia na Kongo ili kuleta taharuki, wafanye utafiti na kuchukua malighafi asili lakini kikubwa zaidi kunufaisha makampuni makubwa ya madawa katika nchi za Ulaya na Marekani.

Kinachofanyika kwa sasa ni kile waingereza husema, ''Cat and mouse political game’’.

Nani atatoka mshindi na kwa muda gani?
Namuamini Sana Raisi wangu wa Sasa
Ni very strong na anajua kinachoendelea. Ila tujiandae kisaikolojia Hawa watu huwa hawapendi kushindwa. Majaribu yataendelea.
 
Back
Top Bottom