Poxino JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 727 Reaction score 53 Apr 27, 2014 #1 Wadau, Naitaji tisheti za mango good quality kama 300 ndio nazo hitaji. Naweza pata kwa 4500 kila moja. Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata. Kwa wanaofahamu ni pm wakuu.
Wadau, Naitaji tisheti za mango good quality kama 300 ndio nazo hitaji. Naweza pata kwa 4500 kila moja. Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata. Kwa wanaofahamu ni pm wakuu.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,505 Reaction score 138,384 Apr 27, 2014 #2 Poxino said: wadau naitaji tisheti zamango good quality kama 150 naweza pata kwa 4500 kila moja kwawanao fahamu ni pm wakuu rangi tofautitofauti maduka hambayo naweza pata Click to expand... zinItwa nimanga tshirt.alafu wanauza sh 8000 mkuu
Poxino said: wadau naitaji tisheti zamango good quality kama 150 naweza pata kwa 4500 kila moja kwawanao fahamu ni pm wakuu rangi tofautitofauti maduka hambayo naweza pata Click to expand... zinItwa nimanga tshirt.alafu wanauza sh 8000 mkuu
Walad Amin JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 287 Reaction score 87 Apr 29, 2014 #3 Hupati kwa bei hyo,mie nauza kwa jumla nitafute .
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,914 Reaction score 10,276 Apr 29, 2014 #4 Poxino said: Wadau, Naitaji tisheti za mango good quality kama 150. Naweza pata kwa 4500 kila moja. Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata. Kwa wanaofahamu ni pm wakuu. Click to expand... Manga zinapatikana Kariakoo
Poxino said: Wadau, Naitaji tisheti za mango good quality kama 150. Naweza pata kwa 4500 kila moja. Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata. Kwa wanaofahamu ni pm wakuu. Click to expand... Manga zinapatikana Kariakoo
Brodre JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,587 Reaction score 1,858 Apr 29, 2014 #5 Utapata mkuu maana hata reje reja mm kuna sehemu nanunuaga 5000
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Apr 29, 2014 #6 uko wapi mkuu nikueleze maduka yalipo? km ni dar nenda kisutu karibu na maduka ya vitenge, batik kule wanauza tshirt nyingi utapata hata hizo za mango unazotaka Poxino said: Wadau, Naitaji tisheti za mango good quality kama 150. Naweza pata kwa 4500 kila moja. Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata. Kwa wanaofahamu ni pm wakuu. Click to expand...
uko wapi mkuu nikueleze maduka yalipo? km ni dar nenda kisutu karibu na maduka ya vitenge, batik kule wanauza tshirt nyingi utapata hata hizo za mango unazotaka Poxino said: Wadau, Naitaji tisheti za mango good quality kama 150. Naweza pata kwa 4500 kila moja. Rangi tofauti tofauti maduka ambayo naweza pata. Kwa wanaofahamu ni pm wakuu. Click to expand...
Poxino JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 727 Reaction score 53 Apr 29, 2014 Thread starter #7 sehemu gani unapata kwa elf 5 mkuu nikajalibu kuhelewana naho
Poxino JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 727 Reaction score 53 Apr 29, 2014 Thread starter #8 ladyfurahia said: uko wapi mkuu nikueleze maduka yalipo? km ni dar nenda kisutu karibu na maduka ya vitenge, batik kule wanauza tshirt nyingi utapata hata hizo za mango unazotaka Click to expand... asant mdau nitakwenda kujalibu kuangalia na huko asant kwa talifa
ladyfurahia said: uko wapi mkuu nikueleze maduka yalipo? km ni dar nenda kisutu karibu na maduka ya vitenge, batik kule wanauza tshirt nyingi utapata hata hizo za mango unazotaka Click to expand... asant mdau nitakwenda kujalibu kuangalia na huko asant kwa talifa