Ndo maana nasema outdated technology, for outdated people.
You might as well use "Mshindi" of old.
Wakati watu wana merge kila kitu wewe unaongea Desktop, Laptop na simu!
Na closed ecosystem ya Apple.
Hahahahaha! Una haki kabisa kutoipenda iPhone
Ila kuna wengine HATUJAONAGA KAMA HIYO!
Hata kama wewe kwako iko out of date, kuna wengine inatusatisfy!!
Je, wanunuzi wakuu wa iPhone ni watu gani? Ni watu wa nchi zipi waliopanga foleni wakati iPhone 5 inazinduliwa. Are they outdated people?! Hahaha!
Hukatazwi kupenda vintage furniture or technology, just don't tout it as the latest and greatest.
Inawezekana "HAMJAONAGA" kama hiyo kwa sababu hamna access. Au hamjui dunia inavyoenda, au hamna mahitaji na teknolojia mpya.
Fact kwamba katika dunia ya leo ya online orders kuna watu wanapanga foleni bado kununua simu should tell you so much about those sheeple, more than the phone.
Apple makes fashion accessories, not tech products.
Kwa kusema foleni, nimetumia tafsida tuu. Nilimaanisha kuwa watu waliisubiri kwa hamu kubwa na kuinunua whether direct katika shops au online!!
Actually kifaa changu nilikinunua online!
Wewe unatumia simu gani hiyo ya the high-end technology kuliko iPhone?
Wengi wenu hamtumii hata 40% ya capabilities za hizo simu ....
iPhone wanaipangia foleni watu.
I just bought the Galaxy Note 2.
With a 64GB MicroSD card might I add, not to mention the Google Drive.
Ona comparison hapa Compare iPhone 5 vs Android Smartphones | Wirefly Saves 24/7
iPhone 5 and Galaxy note 2 are the hot smartphones of the moment!!
BBM is a proprietary ecosystem.You are basically closed in with restrictions.
Why would any techno savvy person want a closed ecosystem instead of an open platform?