Tip: Hire a freelancer, it saves you alot of money. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tip: Hire a freelancer, it saves you alot of money.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mteule, Nov 18, 2011.

 1. m

  mteule Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari Jf members
  Kwa wale wajasiriamali wote mnaosoma habari hii, Ninatoa huduma za book keeping, Taxation, payroll, pamoja na ushauri wa jinsi ya kuongeza biashara yako ikue. Napatikana dar es salaam.

  Nina Degree ya Accounts, na ujuzi wa miaka 3, nikifanya kazi na small businesses. Nimeona nijikite huku hasa baada ya kuona watu wengi wamekopa benki, na mikopo hiyo inahitaji kuzungushwa kwenye mtaji kwa muda mfupi ili kurudisha mikopo hiyo.
  PLEASE don't hesitate to contact me through this number. +255683392119. Thanks.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  kinachomata ni contact zako mkubwa,toa detail za kutosha watu wengi wanashida na watu kama nyiyi,sasa ukieleza juujuu watakupataje?
  Ebu weka contact bwana na hilo nalo linaitaji kukaa darasani?
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  Uko serious kweli mkuu, yaani unapost kuhusu issue nyeti kama hii bila hata kuweka simu. wengine hatujui jinsi ya kumPM mtu
   
 4. m

  mteule Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 2, 2007
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  napatikana kwa +255683392119
   
 5. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  wateja ulowahi kufanya nao kazi...contacts zao..?
   
Loading...