Tinga tinga tales

Tinga tinga tales

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
9,296
Reaction score
7,713
From Tanzania nafurahia hii cartoon naiangaliaga na pride pamoja na mwanangu,na nafurahia mziki wake wakiimba ruka ruka,cheza cheza lakini nasikitika cartoon haipo kwa kiswahili :A S confused:Inatoa simulizi za hadithi nzuri nzuri inanikumbusha kama zile tulizokuwa tukisimuliwa na wazee wetu kabla ya muda wa kulala...Sijui kwanini watanzania tupo nyuma hatuna cartoon hata mmoja ya kiswahili jamani
jambo.jpg

tinga tinga.jpg
money.jpg
Tinga Tinga Tales - Home
 
Hahahahha usiniambie nimetoka kutizama asaivi.....

Mwite princess tuimbe ella the elephant weee naipenda hatar

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hahahahha usiniambie nimetoka kutizama asaivi.....

Mwite princess tuimbe ella the elephant weee naipenda hatar

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Anaipenda…leo tuliangalia why a leopard has spots!!!:smile-big:
 
Anaipenda…leo tuliangalia why a leopard has spots!!!:smile-big:

Yeah nliona leopard na watoto wake watatu ila nlikua na kazi ya kubembeleza bi shost aliamua kulia

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom