Wadau habari za mchana....,
Kuna kampuni moja inadai kuandikwa kwa tin namba zake katika kila risiti inayotolewa kwa chochote inachonunua....!!
Binafsi sina ujuzi juu ya mambo ya kodi katika ununuzi wa bidhaa mbalimbali kiasi nikapambanua ni namba gani TIN iandikwe kwenye risiti ya tra, either ya mnunuaji au ya muuzaji....!!!?
Nina uhakika hapa ni mahali husika wadau, nna imani sitotoka mikono mitupu
Karibuni wajuzi mtujuze