Timu za Majeshi zipigwe marufuku kucheza Ligi Kuu

Hiyo ni kazi ya refa na kamati yake ya waamuzi. Asipo simamia sheria 17 kwa weledi mpira raha kwa watazamaji hutoweka.
 
Tatizo sio jeshi,tatizo ni maelekezo kutoka kwa utopolo.Ukifuatilia aliyekuwa anafanya majanga haya,utagundua ni pure uto.
Hii ni kawaida tu kwenye mpira.Tuliona hata Prisons walivyokuwa wakicheza Taikondo ili waumize wachezaji muhimu.
Pamoja na yote,nyie kidimbwi fc mjue ubingwa mtausikia na mtabaki kulia lia.Kilio cha mwisho mtamlilia GSM.
 
Hao watakuwa wamepewa contract na Utopolo kuwaumiza wachezaji wa Simba ili kuidhoofisha, hawa vibwengo wa Utopolo wamechanganyikiwa mbaya na mafanikio ya Simba.
 
Mkuu, hii habari ungeipeleka jukwaa husika la "sports" ingependeza zaidi. Ni vigumu kupata watu wa kukufariji kwa hizo mambo za Simba a.k.a mikia ama wazee wa waviswaswadu.
Dada mkubwa tuliza kishuzi hicho uzae salama
 
Paka fc mnazingua sana, wezenu wanacheza mpira nyie kumbe mlishashinda hata kabla ya mechi.
Kazi kuroga wenzenu matokeo take ndio hayo no mabuti tu kwa kwenda mbele
 
Umenikumbusha mechi za mchangani mguu wa shingo,mguu wa roho😁😁 chenga mbili kiatu
 
..hao wachezaji wa jeshi baadhi yao sio wale makomandoo tuliowaona uwanja wa taifa wakipasua matofali ya zege kwa kichwa?
 
Timu za Jeshi zifutwe VPL h je hizo zisizo za Kijeshi ulishafanya nazo Vikao na Kukutuma uje useme ( utuandikie ) hivi? Hoja yako ni dhaifu ( Utopolo ) kabisa Ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…