Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,794
- 4,883
hata vita bado ana nafasi....Sawa ila mazembe atapita
hata vita bado ana nafasi....Sawa ila mazembe atapita
Kombe niAl ahly na Wydad Casablanca is my favourite team. Mmoja wao lazima abebe kombe hili, mnyama i know that hana chake.
....Yule aliyetoka Mbeya city aliitwa Eliuter MpepoHapa kuna neno, nikimkumbuka yule wa Mbeya City jina nimelisahau kidogo, na Singano naona kuna point hapo.
...I mean eliud ambokile....Yule aliyetoka Mbeya city aliitwa Eliuter Mpepo
Wako wapi siku hizi?Ambokile na singano walishaondoka Mazembe, kabaki ulimwengu tu