Timu ya Yanga yapata ajali Mikese

Timu ya Yanga yapata ajali Mikese

Hiyo barabara ya Morogoro ijengwe njia mbili
 
Kama hii ya Yanga ni ajali, na hizi tuziiteje?

Crash.jpg

Bus accident.JPG
 
Poleni wachezaji, kocha, viongozi wa timu na wote mliokuwa pamoja.
Japo hamkuumia ila mshtuko mlipata ndio tunawapa pole sana.
 
YANGA WANUSURIKA: Wachezaji wa Timu ya Yanga na viongozi wanusurika asubuhi hii kufuatia basi lao kuingia kwenye mtaro Mikese, Morogoro, wote wako salama.

Ikumbukwe Yanga jana jioni walishuka katika dimba la Jamhuri mjini Moro kuvaana na wana tam tam Mtibwa Sugar ya Manungu. Mechi ambayo iliisha kwa suluhu ya bila kufungana.

Picha za ajali
:

attachment.php


attachment.php

Je Yule Mganga Wenu Mkubwa Mzee Mohamed wa Bagamoyo Aliyewasaidieni Sana Mmemlipa na Kummalizia Chake? Waulizeni Vijana Wa Tegeta akiwemo Bingwa Wa Ndondo Tanzania Kudra Omari Nini Kiliwapata Baada Ya Kuwasaidia na Kumtosa. Ni Maoni Yangu tu Mlipeni Huyo Babu Vinginevyo Jumatano Mnaumia na Mtachapana Bakora.
 
hii ajali imepikwa hii

Watu Wamewashtukia Kwani Ilikuwa Inatafutwa Ajali Ya Kutengenezwa ili Mechi Ya Jumatano Ihairishwe ili Wajipange Vizuri Kwani Wameshapima Upepo na Hali ni Mbaya na Mtanange Uko Palepale na Hakuna Mchezaji Aliyeumia na Wachezaji Wote ni Wazima Na Haswa Oscar Joshua, Said Bahamavuzi na Mbuyu Twite ni Wazima Kupita Kiasi................!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom