Wadau wasoka hebu angalieni timu ya wiki kwenye ligi pendwa ya Uingeleza!! Je timu yako imetoa mchezaji hata mmoja?
Tujadili kwa Hoja si kuikandia au kuifagilia tu.
Binafsi naifagilia ingawa bado nahoji uwezo wa Carrol badala ya Hazard upande wa mbele kushoto.