C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 Apr 24, 2016 #2 Mbona ni visichana hivyo, na sio wanawake!!!
Capitano JF-Expert Member Apr 7, 2011 1,959 1,633 Apr 25, 2016 #5 niliwahi kubahatika kuwepo Adis kwa muda kidogo lakini sikuwahi kupata jibu kwanini mademu wa kule wanafanana sana na Warangi wetu
niliwahi kubahatika kuwepo Adis kwa muda kidogo lakini sikuwahi kupata jibu kwanini mademu wa kule wanafanana sana na Warangi wetu
Turnoff JF-Expert Member Mar 11, 2016 695 779 Apr 25, 2016 #6 Mheshimiwa....na warangi tena...si nawa Iraq (wambulu)
Capitano JF-Expert Member Apr 7, 2011 1,959 1,633 Apr 25, 2016 #7 Ndo hao hao tofauti yao ni technical
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 14,848 12,928 Apr 25, 2016 #8 Wamevaa jezi za rangi ya Yanga..
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Apr 25, 2016 #9 Turnoff said: jamani wahabeshi ni wazuri Click to expand... Hapa tupo kimichezo zaidi mkuu
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,565 Apr 25, 2016 #10 Najitolea na nitafundisha bila malipo
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,636 2,725 Apr 25, 2016 #11 Mibas said: Wahabeshi na shape zao Mh! Click to expand... Zimefanyaje?
kenshi JF-Expert Member Jul 12, 2015 1,976 1,967 Apr 25, 2016 #12 Totos Boss said: Najitolea na nitafundisha bila malipo Click to expand... duuh hapo hata ukiambiwa unatakiwa uwe unawalipa sio mbaya
Totos Boss said: Najitolea na nitafundisha bila malipo Click to expand... duuh hapo hata ukiambiwa unatakiwa uwe unawalipa sio mbaya
Mibas JF-Expert Member Apr 3, 2012 4,191 6,358 Apr 27, 2016 #13 Usedcountrynewpipo said: Zimefanyaje? Click to expand... Ni za kichokozi sana.