Timu ya ushindi UKAWA yavurugana, wadai kuna wasaliti miongoni mwao

MMejikomba, tigo zimepigwa na wamewatosa sasa mnajaribu kujipendekeza kwa njia za mkato....umechelewa sana na utaishia kuokota makopo lkn wana inji wameshaamua kuwa nyie sasa basi. Muendelee kuuana na kuua wenzenu tuu..
 
Timu ya ushindi ni sisi wapiga kura na hatujavurugana. Subiri tarehe 25 ndo utajua kama tumevurugana au umejivuruga kama si kuvurugwa mwenyewe.
 
Baba wa Taifa iliwai kusema watz wakikosa mabadiliko ndani ya ccm basi watatoka nje ya ccm .
Na pia kiongozi bora atatoka ccm sasa tumempata ni lowassaaaa
 

Tupe chanzo cha habari zako, siyo tu unalala kitandani na mkeo, mnaota then unakuja na ndoto zako!!!
 
Wanahaha tu, wameshaona ushindi si halali yao tena ndo wanaanza kutafuta sababu. Ukweli ni kwamba hakuna mgombea mwenye uwezo mkubwa na sifa nzuri za kumshinda Magufuli, acha washindane kwenye ubunge tu lakini kwenye Urais Magufuli kapita bila kupingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…