stephot JF-Expert Member Mar 1, 2012 16,857 25,373 Apr 24, 2016 #4 Ingekuwa poa kama nao wangevaa vi-sketi vifupi ili iwe kama vile wanawake nao wakicheza football wanavyovaa kaptula.
Ingekuwa poa kama nao wangevaa vi-sketi vifupi ili iwe kama vile wanawake nao wakicheza football wanavyovaa kaptula.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Dec 8, 2010 7,518 6,505 Apr 24, 2016 #5 Jamani hivi ule mchezo maarufu wa USA, yaani basket ball ina utufauti gani na net ball!? Kwangu mimi naona kama ipo sawa tu
Jamani hivi ule mchezo maarufu wa USA, yaani basket ball ina utufauti gani na net ball!? Kwangu mimi naona kama ipo sawa tu
Ramea JF-Expert Member Mar 19, 2015 2,146 4,071 Apr 24, 2016 #6 Chapa Nalo Jr said: Jamani hivi ule mchezo maarufu wa USA, yaani basket ball ina utufauti gani na net ball!? Kwangu mimi naona kama ipo sawa tu Click to expand... Ndiyo haina utufauti
Chapa Nalo Jr said: Jamani hivi ule mchezo maarufu wa USA, yaani basket ball ina utufauti gani na net ball!? Kwangu mimi naona kama ipo sawa tu Click to expand... Ndiyo haina utufauti
C Camp Gilgal JF-Expert Member Dec 13, 2014 4,452 4,580 Apr 24, 2016 #7 Ramea said: Ndiyo haina utufauti Click to expand... Ha ha ha!