Timu ya mpira ya Wanawake

hii mechi kiingilio ilikuwa kiasi gani?
 
Hiyo ni ya mpira au ya mipira?
 
mbona huyo ni mtu mmoja tu ila... kwa hakika ni photoshop hiyo
 
Hapa watazamaji watakuwa wanashangilia muda wote kuanzia wanapoingia uwanjani!
Hakuna mtazamaji atakayekuwa hajafungua mdomo kunena...
 
Used used mtindi mtindi mtindi.
 
Reactions: awp
Huu ndo mchezo na huu ndo mpira na huu kufurahi na ndo kushangilea tena kwa hali na mali na kusuza Roho nyeupe bila madongo au chupa za kojo na ombi langu kama malinzi ataona topic hii basi aileta timu hii ili tufurahi Roho zetu maana hizi timu zetu ni boshin tuu na msamiati kibaoooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…