Timu ya kampeni ya Mizengo Pinda hii hapa

Timu ya kampeni ya Mizengo Pinda hii hapa

Katika zoooote kambi nzito ni ya lowassa tu,ndo maana chabruma anababaika



hahahahaha Chabruma akiona gari lolote limeandikwa NK tayari anapata uharo anakimbilia humu........ akipita njia ya chini kwenda mbezi akili yake inawaza tu Apson, anatakiwa kujua tatizo sio Apson tatizo mtu wao Membe hauziki hata kidogo....... Watu wanakuambia bora Wema Sepetu awe rais kuliko Membe
 
Kama kambi ya Lowassa mnakuja hivi.... Utoto tu huu SIASA za KiChadema tu.... Mwageni Sera siyo Kashfa.
 
- Wala hata sio siri unajisema kabisa wewe mwenyewe unatokea kambi gani ndio mnazidi kujichafua ingawa mnaamini mnachafua wengine kumbe kwa maneno kama haya mnajichafua wenyewe wengi wetu tumenyamaza kimya tunawasoma tu ila haya yatakapoanza kuwageukia msilie maana haya ni matusi ya makusudi ya kumpamba mgombea wenu, mimi nasubiri katiba kwanza ipite and then nitaingia kwenye this game la Urais in full swing ila mkuu humsaidii mgombea wako na matusi ya nguoni kama haya!!

Le Mutuz
 
Hii inaonyesha jinsi gani hatuwezi kupata kiongozi bora kutoka CCM, hawa wanaokuja na hizi kambi zote zina watu ambao ni hatari sana kwa taifa letu. Kambi Lowassa imejaa mafisadi ambao wamejilimbikiza fedha nyingi wakati hospitali zetu kama Mwananyara, Temeke,Ilala etc ni aibu tupu.

Kiongozi bora kwa sasa hivi hawezi kutoka CCM. Njia mwafaka ni kutafuta Plan B ya kuondoa kizazi cha CCM katika madaraka ya nchi hii walau hata miaka 10 tu.
 
ocampo four kama mtu akionyesha nia anachambuliwa hivi, mimi hata nafasi ya mwenyekiti wa mtaa wetu sitakaa nifkirie kugombea. Hata hivyo kwa haraka wewe ocampo four ni team ya Lowasa, bandiko lako linalenga "disqualify" wagombea watarajiwa wote wa CCM isipokuwa Mzee wa Monduli.

Endelea kutuchambulia ili kazi ua kupiga kura 2015 iwe rahisi; wachambue na wale wa upande wa pili
 
Last edited by a moderator:
- Wala hata sio siri unajisema kabisa wewe mwenyewe unatokea kambi gani ndio mnazidi kujichafua ingawa mnaamini mnachafua wengine kumbe kwa maneno kama haya mnajichafua wenyewe wengi wetu tumenyamaza kimya tunawasoma tu ila haya yatakapoanza kuwageukia msilie maana haya ni matusi ya makusudi ya kumpamba mgombea wenu, mimi nasubiri katiba kwanza ipite and then nitaingia kwenye this game la Urais in full swing ila mkuu humsaidii mgombea wako na matusi ya nguoni kama haya!!
Le Mutuz


hahahahaha najua ulitaka na wewe nikuandike kuwa huku huku wakati ukweli ni kwamba wewe ni kibaraka wa Bulembo...... unakumbuka umefanya jitihada nyingi sana za kumuona Pinda mara kadhaa amekuwa akikutolea nje.... unakumbuka bajeti yako ya media uliyompa Bulemmbo ampelekee, ila amekuwa akichomoa kwa sababu hakuamini kama uko kambi yake..... pili kuwa na akili ndogo na umri mkubwa kunampa shaka zaidi
 
Katika watu wajinga na Malaya wa kisiasa ni pamoja na wewe ocampo, yaani kwa trend ya thread zako unaonyesha ni jinsi gani ulivyo mjinga,limbukeni na hopeless mind kind of person... Fanya yako acha kumpamba Lowassa alishachafuka siku nyingiiiii tuu... Ni mpumbavu tuu na juha Kama wewe anayeweza kuamini watanzania mil 45 ni wajinga Kama wewe na kuamini mgonjwa na mwizi Kama Lowassa anaweza kuwa rais, chuma chako kwa huyo fisadi kwa kumpaka mafuta mgongo wa chupa kwenye mitandao.. Na pia nadhani wewe pia sio riziki...!!
 
...tukiwaambia CCM hakuna MSAFI mnabisha,haya endeleeni kuumbuana,tuzidi kuwajua vizuri!
 
kambi yenu ya EL ipo kimkakati sana, hata post zenu za humu mnaziweka zimeenda shule, si wale wengine wanakurupuka eti fulani rais ajaye. ila wewe unawashambulia wenzako kwenye vikosi vyao.
 
Mtamjadili Mzee wa watu bure, kumbe mwenyewe hana habari na hizo mbio zenu hata mkijitahidi kumchafua hachafuki.
Pinda ni kiongozi madhubuti , si mlafi kama wengine.
Hakuwahi kugobania madaraka.Ameongoza nchi kwa miaka hii 8 chini ya Rais wetu mpenda safari .
Mafanikio ya serikali ya JK ni usimamizi mzuri wa Pinda.
Mwache mzee achape kazi , kama nchi itamwona anafaa tutampa kura zetu.
Sio hao wengine wasaka Urais kwa udi na uvumba
 
hahahahaha najua ulitaka na wewe nikuandike kuwa huku huku wakati ukweli ni kwamba wewe ni kibaraka wa Bulembo...... unakumbuka umefanya jitihada nyingi sana za kumuona Pinda mara kadhaa amekuwa akikutolea nje.... unakumbuka bajeti yako ya media uliyompa Bulemmbo ampelekee, ila amekuwa akichomoa kwa sababu hakuamini kama uko kambi yake..... pili kuwa na akili ndogo na umri mkubwa kunampa shaka zaidi

- Ujinga na umbeya wa ajabu sana uniandike vipi na mimi sina kambi nimesema na nimewaaambia wahusika waote kwamba mpaka katiba ikiisha ndio nitajitosa kwenye mbio za URais na nitasema wazi ninamuunga mkono nani na nitampigia kampeni bila kuogopa mtu,

- Ulichoandika ni ujinga mtupu mimi nashindwa kumuona Pinda kaka na majuzi nilikuwa naye kwenye Diaspora Serena Hotel, nilipokuwa ninatangaza matangazo ya Mkutano wa Diaspora niliombwa na nani kaka? Wewe ni mtu wa hatari sana kama kweli unaweza kuandika majungu kama haya yakaonekana kama ni ukweli,

- I mean mimi nina shida ya bajeti ya kumsaidia Pinda unaamini ninahitaji kupitia kwa Bulembo? Really? ha! ha! ha! Un aandika maneno ya kichonganishi ulitegemea mimi hapa nitamtukana Pinda kwa kuamini majungu yako? ha! ha! ha! Majuzi mmeniita wenyewe kuniomba nisiwashambulie sasa mmeanza powa subiri katiba iishe kaka wewe na hiyo kambi yako mtanisoma sana tena kwa kila rangi!!

Le Mutuz
 

7. Munde Tambwe
Huyu ni mbunge wa viti maalumu kupitia CCM. Katika kipindi kifupi huyu dada amekuwa haeleweki yuko kambi gani, amekuwa mtu wa kuhama hama kila kukicha na hii tabia yake utawaliwa na ukwasi wa kupata ela haraka haraka. Kwanza kabisa alikuwa kambi ya Lowassa hasa katika kipindi cha uchaguzi wa 2010 na 2012 uchaguzi wa chama, alipoona kwa lowassa hakuna mrija wa ela kwani ela zinapelekwa kwa (wajane, kusaidia yatima, kuboresha elimu, kusaidia wahitaji, masikini makanisani na misikitini) akaamua kukimbia kambi na kwenda penye fedha. Aliweza kukimbilia katika kambi ya Ngeleja na ndipo Ngeleja pasipokujua nia ya huyu dada alimpa takriban million 10 (Peackcook hotel, 14/2/2014) ili aanze kuorganize wanawake wa UWT mikoa yote kwa ajili ya kumsapoti Ngeleja. Munde kama Bulembo na Masaburi ni matapeli wakubwa na hata huyu Munde kama mnakumbuka yeye na dada yake wameweza kuhusishwa katika uuzaji wa unga. Mpaka naandika uzi huu dada yake yuko ndani kwani alikamatwa na unga katika uwanja wa JK nyerere tayari kwa kuipeleka Italy. Munde akuanza haya mamba leo kama mtakumbuka mnamo mwaka 2004 alikuwa moja wa washitakiwa wakubwa (Prime Suspects) katika halmashauri ya Tabora alipokuwa kama mhasibu msaidizi katika halmashauri hiyo (Rejea kesi maarufu kama Mama Khalfan). Kitu kilichopelekea kufukuzwa kazi katika halmashauri hiyo, vile vile watu walishangaa ni jinsi gani aliweza kuwa msaidizi uhasibu wakati elimu yake ni darasa la saba, ingawa kwa wakati ule labda tunaweza kusema wasomi walikuwa wachache.
Asante
Kwenye uzi huu [h=1]Topic: Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya![/h]Nilichangia hivi
Usimsingizie Mhe. Mbunge, Sheria zetu za jinai ni "aliyekutwa na ngozi, ndiye aliye iba ng'ombe!". Kosa la ndugu unamhusisha vipi Mhe. Mbunge?.

Nimjuavyo mheshimiwa huyo alikuwa akijihusisha na ile " oldest professional" enzi zile mama yake akiwa mbunge!.
Kwa kuzingatia udhaifu wa sisi ngozi nyeusi (hapa naomba kukiri hata mimi dhaifu!), then mtu huyu ni muhimu!, ana majukumu makubwa katika kambi hiyo!.

Asante.

Pasco
 
umbea mwingine ni hasara sana pole kwa umbea ambao hauna msaada kwa jamii.

jamani,umbea kwa kuwa mtu kaguswa au?.Ocampo 4 naona anongea facts kuliko Chabruma
 
.......mzee Pinda kwa nini usipumzike baba!!!!!! umeonja urais wa Tanganyika sasa unataka wa JMT!! teh teh
 
Mtoa mada uko biased,next time do not come up with this sort of ----.
 
Back
Top Bottom