Si kosa, Ninacho zungumza mimi ni kuwa na kiu ya kushinda kila game. na si game ya Simba au Yanga tuKukamia ni kosa?
Hongera!1. Mpira wauna siasa kubwa sana, wenye mpira wao hawataki sio tu Azam, Timu nyengine yyt iwe Juu ya SSC na YNG! Yameshawakuta huko nyuma TUKUYU...
Mimi naona bado wapo kwenye FOUNDATION yaani wanajenga misingi,misingi ambayo ipo siku wataanza kufanya vizuri..Msingi wa kwanza ni ku mantain kubaki kwenye ligi na kwa nafasi nzuri za juu kwenye msimamo na msingi wa pili kuwa mmoja kati ya timu zenye upinzani kwa simba na yanga ...haya ndio niyaonayo mimi mana HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHAAzam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake,
Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu.
Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa na kimataifa, Kitu gani kinaikwamisha Azam?
Ukiiondoakamia game zote sasa,Azam anakamia kwa Simba na Yanga akikutana na Namungo anarelax,hapo ndo tatizo linapoanzia.
Mzee SSB ni Simba damu! Huko nyuma ashawahi kuwa Mtunza Hazina wa SSC.Malengo ya Azam ni kuifunga Simba tu basi.
Wanafanyaga hadi sherehe.
Ndio furaha ya mwenye timu Mzee Baresa.
Nyie kinawauma nini kwani ?
wengi hawajui hili. Kiufupi Ile ni BIASHARA yake kama ilivo Azam TV na Bagamoyo Sugar!Naomba nikukumbushe iyo timu si ya wanachama ni YAKE yy mwenyewe tu.sw
huu utetezi huwa nausikia sana lakini utakua ni utetezi wenye nguvu ikiwa Azam wangekua wanafanya vizuri kimataifa.1. Mpira wauna siasa kubwa sana, wenye mpira wao hawataki sio tu Azam, Timu nyengine yyt iwe Juu ya SSC na YNG! Yameshawakuta huko nyuma TUKUYU, MAJI MAJI, MSETO, MTIBWA...
Simba na yanga huwa hazifungwi!Si kosa, Ninacho zungumza mimi ni kuwa na kiu ya kushinda kila game. na si game ya Simba au Yanga tu
Mfano: Angalia mechi walizocheza Azamu vs Simba, Azamu walicheza vizuri sana,
.Azamu vs Namungo, Azamu alifungwa nyumbani. Angalia hizo mechi utaelewa nichozungumza Mkuu.
Sawa bossNaomba nikukumbushe iyo timu si ya wanachama ni YAKE yy mwenyewe tu.sw
OkTimu ikikosa mashabiki...
1. Wachezaji wanacheza kwa kurelax as long as wanalipwa.. hawana pressure.
2. Timu hata ifanye vibaya hakuna lawama kokote sio kama hizi simba na yanga ukifululiza game kadhaa matokeo mabaya utasikia mashabiki wanavyolalama huku mtaani
Kumbe?Inasemekana ni Tawi la Simba...
Simba wako vizuri mkuuHawana tofauti na simba
Sawa.Tatizo Ni kina Popat hawako serious na ubingwa au kufanya vizuri unakaza mechi kubwa mechi za kawaida unafungwa....inabidi wabadilishe uongozi walete watu wa kutoka nje ya nchini.
π π π π π πKamati ya roho mbaya yenye unazi wa Simba na Yanga kuanzia
kipa,wachezaji mpaka benchi la ufundi unategemea kutoboa hapo?
labda watoboe maskio na pua!
nimekaa paleeeeeeee!
ππππ
wanazingua sana hawa wazee wa lamba lamba za ukwaju,strowbery na maziwaπΆπΆπΆπΆπ π π π π π
Azam ni timu inayomilikiwa na mmoja wa matajiri wakubwa Bongo, inamiliki uwanja wake,
Ina miundombinu yote ya kisasa inayohusiana na mpira wa miguu.
Cha kushangaza Azam haifanyi vizuri kitaifa na kimataifa, Kitu gani kinaikwamisha Azam?
Wakamie game zoteKukamia ni kosa?