Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 7,924
- 20,912
Shalom wakuu.
5. Tottenham
Imemaliza mkiani EPL(17), ila inastahili baada ya kutwaa Europa hivyo kuingia UCL.
4. Liverpool
The Reds msimu huu wametwaa EPL, walikua bora sana kabla ya kupoteana mwishoni mwishoni.
3. Inter Milan
2. FC Barcelona
1. Paris Saint German

- UCL Finalists
- Coppa Italia Finalists
- Serie A Runner ups (kwa point1)
2. FC Barcelona
- La liga (kwa magoli 100+)
- Spanish cup
- UCL Semi-finalist
1. Paris Saint German
- UCL Winners
- Coupe de France
- Ligue 1
kaka utakuwa mganga kama sio mtabiri,...