Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,499
- 10,540
Nyinyi ni mabingwa wa kupigwa. Etoo, Crespo, Ballack.Wewe takataka ..ondoa Chelsea hapo sisi hatujawahi kupigwa wewe..
Hawa jamaa wana bahati mbaya mara nyingi.Yanga ndo kapigwa Zaidi, Ditram Nchimbi, Sarpong, Yikpe, Makambo, etc
Yanga ndo kapigwa Zaidi, Ditram Nchimbi, Sarpong, Yikpe, Makambo, etc
Mugalu, Pablo na Morrison ni faida kwa mnyama.Simba kumsajili Serunkuma kutoka....
Simba kumsajili Junior Lokosa kutoka....
Simba kumsajili Mugalu kutoka......
Simba kumsajili Efue Morris, mwizi wa mgari kutoka......😁😁
Simba kumpa mkataba kocha Pablo Escobar, mzee wa kubutua viti kutoka Real Madrid ya Boko Magengeni, nchini.......😁😁
Sadio aliyetaka kumvunja kiuno mdaka mishale? Au sadio mwingine?Simba wamepigwa
Banda
Mugalu
Sadio
Huyo huyoSadio aliyetaka kumvunja kiuno mdaka mishale? Au sadio mwingine?
Dah! Umemuonea kumuweka kwenye hiyo orodha yako mkuu.Huyo huyo
Hawa wote wamefunga magoli caf wakiwa na SimbaSimba wamepigwa
Banda
Mugalu
Sadio
Ballack?? Etoo?? Hao wote wamebeba ubingwa epl na uefa ..sijui kuhus crespo..Nyinyi ni mabingwa wa kupigwa. Etoo, Crespo, Ballack.
Walikuja kwenu wakiwa wamechoka. Ndio kupigwa kwenyewe maana walivuta mpunga wa maana.Ballack?? Etoo?? Hao wote wamebeba ubingwa epl na uefa ..sijui kuhus crespo..
chiko ushindi, molokoYanga ndo kapigwa Zaidi, Ditram Nchimbi, Sarpong, Yikpe, Makambo, etc
Duncan alikuwa anajipiga chenga.😄Chikwende na Duncan Nyoni walikuwa wazuri sema hawakupewa nafasi ya kucheza kuonyesha ubora wao.