Ukisikia total failure ndio hii
Mtanzania wa kawaida hawezi kuwa influenced kubadili mtazamo wake kwa uongozi ujao kwa kuwaangalia hawa wasanii wanaoongoza kwa kupromote uchawi, uzinzi na chuki through their movies
Hivi mtu wa kijijini anawezaje kumsikiliza msichana anakuja kavaa nusu uchi, kaweka nywele za purple na kutoboa kila kona ya mwili?? CCM learn to be humble and in touch with the reality
Mtu halisi wa Igunga atawezaji kumchukulia serious mwanaume ametoboa masikio, amevaa kata kunndu na kuweka kalikiti kichwani?? Hivi mnawaonaje wanyamwezi?? will they really take your approach serious tena ukizingatia magazeti ya shigongo yanaongoza kwa kuwaweka hao-hao mnaowatumia uchi kila kukicha??
Haya ya kufuata ushuari wa January Makamba ni majanga makuu kwa CCM, ni bora mngekodi vijana wa vyuo vikuu wazunguke nchi nzima kuhamasisha watu wawapigie kura, it is cheaper, meaningful and better
Kajala hata siku moja hawezi kubadili mawazo ya mtanzania wa kijijini kuipigia kura