Huo ndio ukweli Safari ya Vyura imefikia hapoPunguza wivu.
1.YANGA SC - Tanzania.
2.TP MAZEMBE - Congo
3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia
4.MADIAMA - Ghana
5 .AL AHLY TRIPOL - Libya
6.MO Bejaia - Algeria
7.FUS Rabat - Morocco
8.Kawkab Marrakech - Morocco
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Yanga.
Ili uwe bora inabidi upambane go go young africanstimu tano za waarabu? yanga tulikupenda lakini waarabu wamekupenda zaidi!
kweli aiseee..............Ili uwe bora inabidi upambane go go young africans
Kaoshe Scania yenu......Yanga mbele DaimaKila mwanaume anammendea chura. Hapo ndio mwisho wao
kusini hamna kituDuh, yaani klabu tano kutoka Afrika Kaskazini , klabu moja kutoka Afrika magharibi, klabu moja kutoka Afrika ya kati, na klabu moja kutoka Afrika mashariki.
Hapo tulipo tayari tuna uhakika wa kukunja mkwanja mrefu tena wa kutosha tu. Hatuendi kushiriki, tunakwenda kushindana, hii ndiyo fursa nzuri ya kuonesha ubora wetu. Go go go Young Africans SC International.Kwa Mara ya kwanza nusu fainal inanukia!