Timu mimi urais 2015.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,879
1,125
Rais-joseph sinde warioba.
Makamu wa kwanza-maalim seif sharif hamad.
Rais wa zanzibar-salim ahmed salim.
Waziri mkuu-wilbrod peter slaa.
Waziri wa mambo ya ndani-freeman mbowe.
Waziri wa elimu-james mbatia.
Waziri wa uchumi na fedha-ibrahim haruna lipumba.
Waziri wa katiba na sheria-hamfrey polepole.

Na bado unaweza kuongezea na uzingatie mfumo wa rasimu ya pili ya katiba kwa kuwa na serikali ndogo yenye wizara chache hata kama kwa kuanzia na serikali mbili ambazo zitakuwa ni mpito wa kupitisha katiba ya serikali tatu.
 
Back
Top Bottom