TIMU Magufuli tukutane hapa

TIMU Magufuli tukutane hapa

mangaukawa

Senior Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
153
Reaction score
63
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.

Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...

Wasalaaam
 
Mimi wa kwanza nitatembea nchi nzima kumpigia debe
 
Unaruhusiwa ndugu ila kabla hujasema madhaif yake tafakali kwanza mapungufu yako na kulingana na mazingira tuliyonayo jiangalie kama ungekuwa msafi kiasi hicho.

Hapa namnukuu Mwenyekiti wa chadema kuwa "asiye wa dhambi awe wa kwanza kumtupia jiwe"
 
Nasikia hajawahi kuwa hata katibu wa shina.....Je, ataweza kuongoza chama baada ya JK?
 
Ni mawazo yako siyakatai.

Nashukuru ila naamini kilakitu kinawezekana.
 
Tinga tinga la kunywa kikombe samunge
 
We Honolulu mbona mama yako alishindwa kazi ya u -housegirl akaamua kuwa changudoa hatukusemaa?
 
Magufuli ni sawa na msichana wa kazi mwenye bidii. Anafaa sana kwa kutumwa tumwa. Lakini urais sio hadhi yake!

kumbe ulitaka kiongoz akutume ww?Kiongoz atutumikie sio kutumikiwa.na kwa sasa tpo kati yan magufuli anafaa kwa utendaj alaf lowassa anatumiwa kuisambaratisha ccm ...Watu ni walewale tu.TUnnane oct 25 2015.
 
Ninazo sababu nyingi lakini mojawapo ni:-
1. Magufuli amekuwa mtumishi wa umma kwa muda mrefu tena akiwa amezungukwa na washawishi wa ufisadi lakini kabaki safi. Naamini atazidi kuwa safi hata akiwa raisi

2. Magufuli aliweza kufanya kazi nzuri ndani ya chama ambako wengi walikuwa blah blah. Naamini akiwa rais impact yake ya kazi nzuri itaenea nchi nzima sio tu serikalini bali hata kwenye mashirika muhimu katika nchi kama TRA, BoT nk ambako utendaji kazi no muhimu mno ili uchumi wa nchi ukue.

In Magufuli I trust hata kama mimi sio CCM au UKAWA.
 
Huyo makufuli pombe ni mzur ila chama kibovu hata uweke jiwe na SSM nitapigia jiwe team lowassa mpenda maendeleo
 
Back
Top Bottom