Timu ipi kiboko kuliko timu zingine?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,297
33,082
Timu ipi kiboko kuliko timu zingine?

227583_479515762070512_1394371549_n.jpg
 
Kigezo cha ubora ni mtihani kidogo, tuwe na criteria za ubora itatusaidia lakini kama tunazungumzia kusukuma ngozi nadhani mpangilio unajieleza wenyewe, ila namba 8 kwa sasa ni dhofli hali nafuu ya upanga kukatia ubapa, iende namba 12 japo ni chama langu kabisa
 
Kigezo cha mtihani sio mtihani kaka ndo mana kwako umezipanga vizuri mkuu na alie uliza swali amejibu kwa kuzipanga wazee wa namba 8 nawapenda huwa mnasema ukweli hampepesi mambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom