Timu imara ya ukawa dhidi ya timu dhaifu ya ccm 2015

Timu imara ya ukawa dhidi ya timu dhaifu ya ccm 2015

lutondwe

Senior Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
150
Reaction score
74
kwenye kampeni za uchaguzi mwaka huu,hakika kutakuwa na kila aina ya raha.Najaribu tu kuona jinsi vikosi vya mapambano vitakavyokuwa:
UKAWA
1.EDWARD LOWASA
2.PROF.LIPUMBA
3.DR.SLAA
4.JAMES MBATIA
5.DR.EMMANUEL MAKAIDI
6.FREEMAN MBOWE
7.JUSA
8.MAALIM SEIF SHARIF
9.TUNDU LISU
10.HALIMA MDEE
11.JOHN MNYIKA
12.NDESAMBURO
13.PETER MSIGWA
14.PROF.SAFARI
CCM
1.POMBE MAGUFULI
2.PHILIP MANGULA
3.NAPE
4.MAKONDA
5.LUHAVI
6.RIZIONE KIKWETE
7.SAMIA SULUHU
8.KINANA
9.MSEKWA
10.ANNA MAKINDA
11.SAMWEL SITA
12.NGELEJA
13.DR.SHEIN
14.MWIGULU MCHEMBA
Kwa vipimo vya namna yoyote naona CCM hawatamaliza hata kipindi cha kwanza.Natabiri watachukua mpira na kukimbia nao au wataanzisha ngumi uwanjani.
 
bado kuna makombora ya kifaru lowassa ya akiba hayo ni nouma hatari mkuu usipime !!!!!
 
Dr. Slaa hawezi kushikiana na fisadi lowasa. labda hao walionunuliwa
 
nitamshanga sana kama na slaa atajiunga na malaya wa siasa mbowe, mbati na lipumba,
 
Ukawa ni mpango wa mungu,Wote walio kwenye list ya ukawa ni wenye imani zao za dini
Ccm ni mpango wa ibilisi,Wote walio kwenye list wamekaa kiibilisi.
Hamna siku mpango wa mungu ulishindwa na mpango wa ibilisi.
 
hapa hatoki mtu mpaka mafua na macozi yatoke
11816995_474208119405060_3408368219114090503_n.jpg
 
kwenye kampeni za uchaguzi mwaka huu,hakika kutakuwa na kila aina ya raha.Najaribu tu kuona jinsi vikosi vya mapambano vitakavyokuwa:
UKAWA
1.EDWARD LOWASA
2.PROF.LIPUMBA
3.DR.SLAA
4.JAMES MBATIA
5.DR.EMMANUEL MAKAIDI
6.FREEMAN MBOWE
7.JUSA
8.MAALIM SEIF SHARIF
9.TUNDU LISU
10.HALIMA MDEE
11.JOHN MNYIKA
12.NDESAMBURO
13.PETER MSIGWA
14.PROF.SAFARI
CCM
1.POMBE MAGUFULI
2.PHILIP MANGULA
3.NAPE
4.MAKONDA
5.LUHAVI
6.RIZIONE KIKWETE
7.SAMIA SULUHU
8.KINANA
9.MSEKWA
10.ANNA MAKINDA
11.SAMWEL SITA
12.NGELEJA
13.DR.SHEIN
14.MWIGULU MCHEMBA
Kwa vipimo vya namna yoyote naona CCM hawatamaliza hata kipindi cha kwanza.Natabiri watachukua mpira na kukimbia nao au wataanzisha ngumi uwanjani.

Wema sepetu, Irene uwoya Steven nyerere,
 
Humu ndani ukawa ccm nimeshachoka promo zenu. Ukweli hakuna propaganda tu
 
Mbona nasikia #TeamLowassa imefufuka tena. Hiyo Timu haiwezi kuchangia kwenye hizo Kampeni na kuwazidi kete wengine!
 
Katika timu yetu mashuhuri umemsahau mchezaji mahiri Asumpta Mshama na Lusinde Kibajaji. Yupo na defenda wetu Job Ndugai atashiriki kikamilifu kama Hata fungwa jela kwa kumpiga na gongo kichwani mgombea mwenzie akidhani ni Siwa la bungeni.
 
15.Sugu
16.Joseph Haule
17.Ester Bulaya
18.David Kafulila
19......
 
Jaman s mtulie? Ngoma ndio kwanza bado,,
hizi mbwembwe za jf znawadanganya sana watu.
Hii jf inawatu wasio zidi elf10 kwahyo n percent ndogo sana kwenye kujihakikishia ushindi.

Twenden uraian huko tukaone kama tunakubalika na hawa waroho wa madaraka tuliowakodi
 
Back
Top Bottom