Hahaaaa....atakuwa anaota na kiingereza chake cha longalombogo huko bariadi.Unaota mchana wewe.
Chelsea ife kwa sababu ya kuondoka wachezaji?
Aliondoka Drogba, akaondoka Hazard, akaondoka Fabrigas.
Na timu ikabeba UEFA.
ACHA AKILI FINYU NA KUTUJAZIA SERVER KWA KULETA MADA ZA KIPUUZI.
sasa mwamba kama untitle contender hazijafa ndo ife Chealse ambayo ni title contender?Kati ya hizo zote ulizotaja kuna hata moja inaweza kuwa title contender pale England??![]()