Timu gani ya taifa haijawahi kufundishwa na kocha asiye mzawa?

mtanzania10

JF-Expert Member
Mar 23, 2014
271
81
Habari wanaspoti,
Ni nchi gani au taifa ambalo timu yao ya taifa haijawahi kufundishwa na kocha ambaye sio mzaliwa wa nchi hiyo?
 
Fabio Capello(Italian) alifundisha England....
Marcio Maximo(Brazilian) alifundisha Tanzania kwa mafanikio...

Wako wengi ingia kwenye Google acha uvivu mtoto
 
Fabio Capello(Italian) alifundisha England....
Marcio Maximo(Brazilian) alifundisha Tanzania kwa mafanikio...

Wako wengi ingia kwenye Google acha uvivu mtoto
NAONA HUJANIELEWA VIZURI NILICHOKUWA NAMAANISHA
 
Back
Top Bottom