Kocha wa Taifa Stars awe na hadhi ya Waziri, Katibu Mkuu AU na siyo hadhi ya katibu kata

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,173
1,289
Taifa stars ni timu pekee yenye wapenzi wengi sana kuliko ilivyo kwa Simba na Yanga. Kocha yeyote ambaye atateuliwa kuifundisha timu yetu ya taifa stars lazima awe amesheheeni sifa nzuri za mafanikio huko alikotoka na hata kwetu hadhi yake iwe ya kibalozi, uwaziri au katibu mkuu African unity hapo tutaona mazito mengi na mafanikio mazuri sana ya kucheza fainali za FIFA popote pale liwakapo jua na mwezi.

Ifikie mahala lazima tuone ya kuwa kuwatengenezea furaha ya kitafa watanzania walio milion sitini na nne sio kitu mchezo bali ni kazi nzito aliyotwishwa raiasi wa TFF.tukijifanya hatujui umuhimu wa sifa na hadhi za kocha wa taifa stars tukaipa hadhi ya katibu kata kwa kocha wa taifa stars basi huzuni ya kitaifa itakuwa mioyoni kwetu daima bila kikomo.
 
Inanikumbusha neno hili: unworking government machineries
 
Back
Top Bottom