Timiza ndoto kisanaa

rugemaa

Senior Member
Nov 26, 2014
132
28
Wanahitajika watu wenye uwezo wa kushiriki tamthiliya ya kisiasa inayotarajia kuanza hivi karibuni.

Ni tamthiliya itakayokuwa katika mfumo wa bunge mithiri ya bunge letu la Dodoma ila litakuwa la ueledi zaidi na mantiki na itaoneshwa ktk TV za ndani na nje ya nchi yetu.

Fomu za mchujo wa washiriki zitaanza kutolewa 10/01/2016

Jitokeze ili uwe miongoni mwa washiriki 200 wa tamthiliya ya BUNGE LA BONGO

Ni maalumu kwa waliopo Dar.

Kwa taarifa zaidi +255718856161
 
Back
Top Bottom