Time travel na Incarnation ni sawa?

NGOJA TUWEKE MAMBO SAWA. ... TUSOME BIBLIA TAKATIFU.. UTAELEWA AN GALAU
Yer 1:5...
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.
Nadhani hapa alikua akiambiwa yeremia mwenyewe na si wanadamu wote....kwa maoni yangu lakini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…