pappi_santana
Member
- Mar 20, 2024
- 61
- 77
Uongo!Quantum physics
Hii ni mojawapo ya branch za physics tuh ambazo vinaelezea kuhusu vitu vingi mfano
Time travel
Worm holes
Time dilations
Light&gravity
Time travel
Ushawahi sikia mtu anatoka future kwenda past au past kuja future ???hii nadharia nadhani wabongo tunaihisi kwenye mamovie tena ya wenzetu mfano sisyphus na interstellar lakini ukija kwenye vitabu inaonekana ni kitu ambacho kina ukweli ndani yake na uongo ndani yake(yaani wanasayansi wanajiumbua wenyewe😂😂)
Mwaka 1927 Albert Einsten mmoja ya wataalamu wakubwa hajawahi tokea alisema time travel ni kitu ambacho kipo na hata hapa duniani unaweza fanya mfano visiwa vya polyneasia na marekani ni vimepishana kilometa 70 tu!! Ila katikati yake kuna mstari wa muda yaan international date line kwakuwa polynesia wakisheherekea sikukuu ya mwaka mpya huku upande wa pili marekani watakuwa nyuma kwa masaa23 kwahiyo ukipanda ndege ukaenda marekani utakuwa umetime travel…..sasa bwana einsten akaanza matheory yake sasa akaaelezea ya kwamba space&gravity vikiwa kwa pamoja vinaweza fuse kuzalisha wormhole ambazo zinaweza msafirisha mtu kutoka sehemu moja mpaka nyingine tena kwa haraka zaidi
Ila mpaka leo hii imebaki kuwa nadharia sababu haijaproviwa bado
Wanasayansi sasa wanajiumbua wenyewe kwa kusema hata mtu akitime travel hawez tekeleza lengo lako na haitawezekana wakaiita hii kitu paradoxes
Mfano
1.Umezaliwa
2.ukagundua kuwa babu yako alikufa kwenye vita vya pili vya dunia
3.ukagundua chanzo cha vita ni adolf hitler
3.ukavumbua mashine ya time travel
4ukasafiri kwenda past
5.labda ukamuua hitler alivyozaliwa tu pale😂
6.kwahiyo babu yako hatakufa
7.na wewe utazaliwa present tena hutakuwa na idea ya kuvumbua hiyo mashine coz babu yako hakufa😂😂😂😂wala adolf hitler hakuwepo
Kwahiyo utabaki trapped kwenye hiyo event infinitly😂😂(mwacheni Mungu aitwe Mungu)
Time dilations
Hivi ushawahi sikia kuhusu muda kuchelewa???ngoja nikufumbue macho sasa kwanza dunia yenyewe yetu haijizungushi kwenye muhimili wake kwa saa 24 kamili hapana bali ni masaa 23:dkk54:56seconds kwahyo hiyo 24hours inakuja kwa wale wana jf wataalamu wa math wana approximate(bila D 2 huwezi elewa shenzi!!😂😂) time ni real thing ila sasa inachochewa na light(mwanga) na speed ya mwanga ni 300,000km/s(kilometa laki tatu kwa sekunde)kwahiyo kama kungekuwa na kitu kinasafiri kwa speed ya mwanga ingezunguka dunia nzima mara 7 kwa sekunde😳
Na kwa speed hiyo mpaka kufika kwwnye mwezi ni dakika 1 tuh
Na kufika mars kutokea duniani ni dakika 3 tuh
Sisi tunategemea jua na jua ni nyota ila tunaiona kubwa sabavu ipo karibu na dunia mwanga wake unatumia dakika 8 tu kufika duniani
Hii inamaanisha speed ya mwanga ndo speed kali kuliko zote ila sasa ina ukakasi flani hivi chukua mfano huu
Watoto wawili mapacha wamezalia alafu mmoja mpakize kwenye spaceship alafu aondoke earth kwa speed ya mwanga aende akazurure huko juu kwa miaka mitano tuh ila chombo chake kitembee asilimia 99.9 ya speed ya mwanga.
Akirudi huku duniani atakuwa na miaka 5 ileile ila huyu mwenzake aliemuacha atamkuta na miaka 95😳😳😳
Uchawi ndo unaanzia hapo sasa ndipo scientists wakaipa hiyo theory (time dilation)
Hivi vitu ndugu yangu ukiviwazia sana unaweza nyonyoka nywele zote 😂😂😂
Wakati mwingine nitakuja kuelezwa maajabu mengine tusiyoyajua hasahasa mambo ya artificial intelligence(akili bandia&neuralink ya elon musk)
Coming soon…….
Jamaa mbona kaelezea vizuri tu hapo kwenye utofauti wa muda kati ya Marekani na kisiwa Cha polythemus, na ameandika kuhusu international date line. Hebu elezea hapo kwenye utofauti wa muda kati ya eneo na eneo Kwa masaa Zaid ya 23Uongo!
Quantum physics haina uhusiano na time travelling, Quantum physics tries to explain the behaviors of matter or energy in quantum scale, mfano kama particle duality, modern wave mechanics etc ndo utavikuta kwenye quantum physics
Relativistic mechanics ndo inazungumzia time traveling na hizo vitu vyote ulivyotaja.
Kwenye mazungumzo yako umesema eti mtu akipanda ndege kwenda marekani kwasababu tumepishana muda basi ame-travel through time ni uongo,
Ukazungumza pia eti time ni real thing, I presume you mean time is absolute, acc. to relativity time is relative and not absolute. Sasa kinanishangaza kuona unazungumzia relativistic mechanics alafu unasema time is absolute. Explanations zako zinaonekana umebase na movie na fikra zako binafsi ndo mana unasema eti mtu akitoka hapa hadi marekani ame travel through time
Utofauti wa muda kati ya sehem na sehem doesn't explain time travel.Jamaa mbona kaelezea vizuri tu hapo kwenye utofauti wa muda kati ya Marekani na kisiwa Cha polythemus, na ameandika kuhusu international date line. Hebu elezea hapo kwenye utofauti wa muda kati ya eneo na eneo Kwa masaa Zaid ya 23
Mkuu,mbona huelewi hilo swala unaelewa sana nambie maana ya relativity unayoisemea wewe pia nambie vitu vinavyocompose relativity kama hutatajaUongo!
Quantum physics haina uhusiano na time travelling, Quantum physics tries to explain the behaviors of matter or energy in quantum scale, mfano kama particle duality, modern wave mechanics etc ndo utavikuta kwenye quantum physics
Relativistic mechanics ndo inazungumzia time traveling na hizo vitu vyote ulivyotaja.
Kwenye mazungumzo yako umesema eti mtu akipanda ndege kwenda marekani kwasababu tumepishana muda basi ame-travel through time ni uongo,
Ukazungumza pia eti time ni real thing, I presume you mean time is absolute, acc. to relativity time is relative and not absolute. Sasa kinanishangaza kuona unazungumzia relativistic mechanics alafu unasema time is absolute. Explanations zako zinaonekana umebase na movie na fikra zako binafsi ndo mana unasema eti mtu akitoka hapa hadi marekani ame travel through time
Bro kazi kama hizi tunapigwa sana mawe 😂😂😂yaani hapo nmeelezea vizuri sana ila kuna mtu anasema ni uongo kwamba yeye ndo anajua sana kwahiyo mimi Oxford nilienda bure??😂😂Mkuu hurudi hapa umalizie hii kitu
Mambo ya UFO(unknown flying objects) ni mambo ambayo hata binadamu wa sikuizi akiambiwa anaona ni nadharia tu ila kwa utafiti uliofanyika unaonesha kwanza hizo UFO hazijaanza jana wala leo au juzi😂😂😂zilianza since enzi za egyptian pharaos ambapo wanatujuza kwamba walitumika hadi kwenye kujenga zile pyramid maana kuna vitu ambavyo mpaka leo vimeonekana ni mysteries mfanoUFO ziliishia wap je area ,47 washawah lunch UFO yeyote
Je waliweza kujua teknolojia Gan inaendesha hizo UFO
Hamna confusion hapo jamaa angu ila nimetumia IDL kuwasilisha kamfano kadogo kanachoongelewa kuhusu time travel na sijabuni mimi bali ni kulingana na vitabu mbalimbali nenda hata quora utaona…naheshimu mtizamo wako✌️✌️Utofauti wa muda kati ya sehem na sehem doesn't explain time travel.
Kuna kitu kinaitwa simultaneity, suppose mtu yuko Marekani na mwingine sehemu nyingine (which are separated by the international date line). If these two people are happen to be doing events in exactly the same moment (simultaneously) kama observer hapa duniani akiweza kuwaona wote kwa pamoja atasema wanafanya kitu kwa muda sawa chukulia unastream live football match USA wakati kwao ni usiku huku kwetu ni mchana utaona haya matukio yote yanatokea kwa pamoja (simultaneously) hii inaashiria kwamba hizi events zinatokea at the same time. Uyo jamaa ameconfuse kati ya hiyo International date line na time travelling. Yani mfano wake sawa sawa na useme wote mmekaa kwenye gari moja (same frame) alafu muwe na utofauti wa spidi zenu
Hizo events mbili zote zimekuwa observed hapa on earth (same frame) so huwezi sema eti unatime travel
Utofauti wa muda kati ya sehem na sehem doesn't explain time travel.

Wewe jamaa mbona unabisha bila kuweka hoja.Mkuu,mbona huelewi hilo swala unaelewa sana nambie maana ya relativity unayoisemea wewe pia nambie vitu vinavyocompose relativity kama hutataja
Space & time ni mojawapo ya composition ya relativity na kwahyo nmetumia knowledge ya einsten na vitabu vyake kama alivyoandika na kuhusu huo mfano ukiuangalia nkajaribu kukuambia uvute picha tu uone kama scientists wapo wrong au right na ww kwenye mtizamo wako unaona hawapo sawa ndo maana umenikosoa ila kusema knowledge ya quantum haihusiani na hivo vitu hapo umetupiga changa la macho😂😂
Ntajie hiko kitabu kilichokwambia kama utofauti wa tarehe kati ya sehemu moja na nyingine ndo inasababisha time travellingHamna confusion hapo jamaa angu ila nimetumia IDL kuwasilisha kamfano kadogo kanachoongelewa kuhusu time travel na sijabuni mimi bali ni kulingana na vitabu mbalimbali nenda hata quora utaona…naheshimu mtizamo wako✌️✌️
Hongera bro kwakuwa naona umekuja flani hivi alafu ukanikosoa kimtindo ila by the way naona unachoongea wewe na nlichokisema mimi havina utofauti kama umeshasema “unaweza ona concept za relativity applied kwenye quantum mechanics and its normal”Unaweza kuona concept za relativity kuwa applied kweny quantum mechanics and it's normal, lakini sio kusema quantum mechanics ndo inaeleza juu ya time travel.
It's a big lie, toa fact acha maneno sijuwi ya umeenda Oxford. Unaweza ukaenda Oxford lakini bado ukashindwa kuinterprete time kama hapo saivi
Nenda kasome (the great discovering of einsteins)Ntajie hiko kitabu kilichokwambia kama utofauti wa tarehe kati ya sehemu moja na nyingine ndo inasababisha time travelling
Ushawahi kusikia kuhusu multiverse wewe?Wewe jamaa mbona unabisha bila kuweka hoja.
Modern physics inavipengele viwili muhimu which are Quantum physics na general relativity (which extends special relativity)
In quantum physics, the focus is the behavior of particles at the smallest scale. The focus here is considering what actually happens to this particles at quantum levels. Interpretation ya time kwenye Quantum mechanics ni kama parameter tu in quantum state of a particle
Ukija kwenye general relativity ambayo ni extended from special relativity (The special theory of relativity explains the behaviors of objects at speed closer to the speed of light) inaongeza interpretation of gravity kweny special relativity and how does it affect time