Mkuu Mphamvu mimi nimekuwa Teja wa hi Zorin OS Kiboko ya ote hiyo haitaji Anti-Virus.Addicted to Ubuntu Debian, an open source OS. Karibuni wapendwa...
Wallahi MziziMkavu umenizingua na hiyo ZOrin OS! Nisikusumbue na maswali ila nitai-google niifahamu zaidi. Naona itakuwa os kiboko sana. Eti haina haja ya antivirus?Mkuu Mphamvu mimi nimekuwa Teja wa hi Zorin OS Kiboko ya ote hiyo haitaji Anti-Virus.
Zorin OS 7 Screenshots
Look Changer
Zorin OS - Home
Mkuu Mphamvu mimi nimekuwa Teja wa hi Zorin OS Kiboko ya ote hiyo haitaji Anti-Virus.
Zorin OS 7 Screenshots
Look Changer
Zorin OS - Home
Mkuu HYGEIA Tena ipo speed wala hufikirii kama Computer yako itaingia Virus wala Spyware kitu Heavy hiyo mkuu jaribu utaoana wewe mwenyewe.Wallahi MziziMkavu umenizingua na hiyo ZOrin OS! Nisikusumbue na maswali ila nitai-google niifahamu zaidi. Naona itakuwa os kiboko sana. Eti haina haja ya antivirus?
Mkuu Mphamvu mimi nimekuwa Teja wa hi Zorin OS Kiboko ya ote hiyo haitaji Anti-Virus.
- .....
Zorin OS - Home
Mkuu MpigaKelele wewe chelewa chelewa utamkuta mtoto sio wako tena watu tupo mbele wewe bado upo nyuma khaaaaaaaaaaa na hiyo Windows XP yako? Acha usingizi wa kupiga kelel hizo...............Hizo zenu nazitilia shaka...zaweza kuwa zimeungana 'module/function' ya FLAME au PRISM ya akina Snowden.
kiukweli mimi nitakuwa wa mwisho kuhama... XP..maana dude hili lina beba programme zote ninazohitaji...wa halicheui ka ma W7 na wenzake.
Mkuu MpigaKelele wewe chelewa chelewa utamkuta mtoto sio wako tena watu tupo mbele wewe bado upo nyuma khaaaaaaaaaaa na hiyo Windows XP yako? Acha usingizi wa kupiga kelel hizo...............
Mkuu MpigaKelele OS Zorrin ina mpangilio wake kwa kila kitu kama una hard disk yako ina nafasi weka partition hard disk kwa ajili ya OS Zorrin kisha unaweza kutumia Windows XP pamoja na OS Zorrin huo ndio ushauri wangu.Tatizo mnashidwa kunishawishi kuwa hizo OS zenu hamjazi'loop' na FLAME au PRISM....suala hapa ni security na compatibility...mnanihakikishiaje usalama wa mafaili yangu na mawasiliano yangu kwenye net na je itaweza kubeba program zangu zote au itazicheua?
Mkuu C6 Nimeiona hiyo ni ya Kitoto kiboko ni OS Zorrin ndio baba yao wote hao LinuxMziziMkavu na Mphamvu mwenzio natumia Linux Lite saaafi kabisa
nimeona kuna zorin lite minimuma inataka ram 128mb kumbe kuna pc za zamani zinaweza run hii zikawa very fast
Mkuu ndetichia Kama alivyosema mkuu chief- mkwawa OS Zorrin hata kam computer yako ina RAm 128 GB inaweza kufanya kazi ipo nyepesi sana tena ina speed kuliko hata hiyo Windows 7 Ultimate. Ukitak Ku download OS Zorrin bonyeza hapa Zorin OS - Free chaguwa Zorin OS 6 (LTS) .specification zake inatakaje?
Mkuu ndetichia Kama alivyosema mkuu chief- mkwawa OS Zorrin hata kam computer yako ina RAm 128 GB inaweza kufanya kazi ipo nyepesi sana tena ina speed kuliko hata hiyo Windows 7 Ultimate. Ukitak Ku download OS Zorrin bonyeza hapa Zorin OS - Free chaguwa Zorin OS 6 (LTS) .