Time has come be part of revolution

Time has come be part of revolution

Ungeongeza nyama kidogo kabla hatujaenda,Isijekuwa Maccm ya chuo yanatangaza sijui hayamdai Mama,hatuna muda nao
Ila kama ni press yq wana mabadiliko sawa
 
Guys naomba wapenda mabadiliko wote mkaangalie press ya wana vyuo YouTube katika channel ya royal TV. Asanteni na muwe na usiku mwema

Acha woga weka link na summary, vijana kuwa waoga siyo sawa.

Lazima kushiriki vilivyo katika vuguvugu hili siyo kuwaachia watu wachache kina Lissu Heche, Mnyika, Dua Lyamzito, Katibu Mkuu wa Bavicha Taifa na viongozi wengine 200 wa chama huku umma wa People's Power nguvu ya umma tulio maelfu, malaki na mamilioni tuna woga mkubwa na kujistukia ....

Ili vuguvugu liwe Tsunami inatakiwa tufunguke kwa kuweka hamasa chanya katika uzi tunaouanzisha tunaoanzisha siyo kukimbia kimbia hata kuanzisha uzi ulikamili kutoa picha kubwa pana ,ili tupate wenge tuitafute hiyo Royal TV

Sema Aluta Continua, Struggle Must Continue, Mapambano lazima yaendelee na pia Nguvu ya Umma ya mamilioni ya raiq tujitokeze bila wasiwasi.

No Reforms No Elections.
 
25 June 2025
Nairobi, Kenya

SIKU YA KUMBUKUMBU YA VUGUVUGU LA VIJANA GEN-Z

View: https://m.youtube.com/watch?v=7IUUyDqKYDM
 
Back
Top Bottom