Time changes in the UK

RayB

JF-Expert Member
Nov 27, 2009
2,751
196

Hivi wakuu hii imekaaje hawa waingereza ndo wanacontrol tome ya dunia? Manake kuanzia leo wanatuambia kuwa time imechange na lisaa limoja limesogea mbele yaani saa sita inakuwa ni saa saba, imekaaje hii na ni kwanini kila mwaka huwa nafikiria manake huwa wanaanza summer yao na changes hizi
 
Do ur homework!
 
What do you mean by homework Masa, Cooking? Thats not part of homework yet. Have you done yours on that? Just share pls

Mazee unapenda slopes? Y increase over X increase? maana swali lako ni kama la kwenye vilabu vya Kangara!
 
Teh teh kaka kangara siijui labda mkangafu ushausikia huo ntakuwa nimeitoa "Navalonge Swela kilabu"
 
Back
Top Bottom