Acha ubishi wa kitoto , mtu ana Anemia ya kuweza kumuua( Anaemia in heart failure , Anaemia with brain hypoxia ,Anaemia with active bleeding n.k) hawezi kustahimili hata baridi ,sembuse huo ulinzi?
Hapo lazima mtu awajibishwe , na unaweza kukuta alikuja na cheti cha Daktari kinachoonesha hawezi kufanya mafunzo kwa hali yake ya Afya ila ndiyo akakutana na watu vichwa ngumu kama wewe mkampigisha mazoezi kujidai ndiyo ujeda.