Timbwili la JKT


Hata huko kuna kiwango hawapigwi full mziki hao!!!!!
Tafuta hata ndugu tu kama sio rafiki akupe "udambwi" wa jando kuu!!!!

They are just trained, not hardened for battle!!!!
 
JKT ni lazima kwa kijana yeyote na inasaidia sana kumfanya mtu ajitambue. Mazoezi kama haya ni kitu cha kawaida sana na wakufunzi hawazidishi wakiona huna stamina. Viva serikali endeleeni kuhakikisha vijana wanapata mafunzo haya. Haya maboumu yanayolipuliwa huko Arusha na Znz vijana wangeshaimarisha ulinzi kama wote wangekuwa wamepitia JKT.
Kifo kikitokea ni kama kinachotokea sehemu nyingine tu..ajali kazini!
 
Yawezekana ni natural death... siku hizi magonjwa mengi sana na vifo ni vingi sana watoto, vijana na hata wazee! Madhara ya kuruhusu Michele mibovu, samaki aina ya vibua vyenye mionzi kutoka Japan ni makubwa kupitiliza, Tafiti za kisayansi za kulalia vyandarua vyenye sumu, mbegu za kisayansi zenye kuzalisha mazao hatari kwa afya na akili navyo vinachangia kwa kiasi kikubwa sana vifo vya Watanzania wasiokuwa na hatia ..Ukiongezea na Umasikini wakuletewa na CCM dah! Life expectancy ya Mtanzania itafikia miaka 10 soon !...
Mkuu sasa chanzo cha vifo vinavyotangazwa ni nini, au ni uzushi tu?
 
Haya ngoja siku wakiamua kuingia mstuni ndio mtajuta wapeleka huko JKT
 
Kwanza siyo Vifo ni kifo,pili walikwisha sema aliyefariki alikuwa na matatizo ya upungufu wa damu kitu ambacho hata wazazi wake wali kiri tatizo hilo!

Kama Wazazi na maofisa wa JKT walijua kuwa ana upungufu wa damu kwanini walimruhusu kukaa kambini badala ya kulazwa Hospitali? e.g Mtoto ana Sickle Cell unaruhusu awe exposed kwenye stress task za JKT unategemea nini hapo baadae kama sio kumuhukumu kifo? "ILI KUWEKA NIDHAMU LAZIMA MMOJA AWAJIBIKE"
 

some senses are within your words!!!
 
Mkuu hiyo ndogo sana, watu usiku tulikuwa tunabebeshwa nguzo za simu mnazunguka nazo usiku kucha, unayajua mapenzi ya nyoka wewe?

Mafunzo ya jeshi siyo sawa na kucheza kwaito!
 
Mkuu hiyo ndogo sana, watu usiku tulikuwa tunabebeshwa nguzo za simu mnazunguka nazo usiku kucha, unayajua mapenzi ya nyoka wewe?

Mafunzo ya jeshi siyo sawa na kucheza kwaito!

Rest In Peace General!!!!!
 
Hata huko kuna kiwango hawapigwi full mziki hao!!!!!
Tafuta hata ndugu tu kama sio rafiki akupe "udambwi" wa jando kuu!!!!

They are just trained, not hardened for battle!!!!
Nazungumza kitu nikifahamucho...nimepita JKT,watoto wanapewa mazoezi mazito bila kuzingatia ustahimilifu wa miili yao.
 
View attachment 169905
Wana JF, inasemekana hii ni moja ya picha ioneshayo mazoezi katika kambi za JKT. Je, hii inaweza kuwa chanzo cha malalamiko ya watu kuhusu maafa yanaosadikika kutokea huko au ni siasa za watu tu!

nimecheka sana, ila kuna jamaa yangu ni mjeshi alinisimulia siku moja hicho mbona cha mtoto.
 
Halafu ukishatoka kumaliza hii adhabu pichani, unapewa mche mmoja wa sabuni na maji kikombe kimoja.

Unaambiwa uoge na utakate na mche wa sabuni wote uishe :embarrassed:

 
Nazungumza kitu nikifahamucho...nimepita JKT,watoto wanapewa mazoezi mazito bila kuzingatia ustahimilifu wa miili yao.

Kupita inawezekana sio kifahamu inategemea umepita kama nani!!!!

Kuna wangapi wamepata vilema au magonjwa ya kudumu post exposure???!!!
Kuna exception kama ilivyo kwa dawa kuna watu wazima 40yrs hawana kilo 70 na kuna watoto under 20 wana over 70kgs. Unless una kipimo kusema huyu threshold ni hii na huyu ni hii kuhusu zoezi fulani!!!

Mfano bone density na muscle thickness unapimaje kabla ya kwenda JKT????!!!Anaweza kuvunjika mfupa sio zoezi gumu ila yeye ana low bone density, sasa huyu kama hakupimwa hili huwezi mlaumu trainer au jeshi!!!!! Hii sasa ni changamoto sio kulaumiana inahitaji kutatuliwa.

Lakini cardiac output au Haemoglobin level vinapimika!!!!

Haya mambo yanachukuliwa kihisia kuliko uhalisia, kama wanapimwa na kuthibitika afya nzuri basi tolerance
itatofautiana ila wote wataweza!!
 
mbona mazoezi ya kawaida tuu kijana acha woga
 
Haya ngoja siku wakiamua kuingia mstuni ndio mtajuta wapeleka huko JKT

........level yao ni ya Serviceman/woman, na hawajafikia hata level ya reservist (askari wa akiba)
Sana sana wanajua kufungua na kufunga silaha !......kuingia msituni sirahisi hivyo kama kuandika quote JF.
 
Mkuu hiyo ndogo sana, watu usiku tulikuwa tunabebeshwa nguzo za simu mnazunguka nazo usiku kucha, unayajua mapenzi ya nyoka wewe?

Mafunzo ya jeshi siyo sawa na kucheza kwaito!

Nimeipenda sana hii mkuu !
Umenikumbusha mbali sana, sisi kuna watu walifanya noma katika kombania yetu na tukavamiwa usiku na maafande. Watu wakachujwa na wakapata wabaya wao. Basi walibebeshwa vitanada vyao kuzunguuka hanga tokea saa sita usiku mpaka saa kumi alfajir na watu wakaendelea na mchaka mchaka kama kawa ! jeshi si kucheza ndombolo ya solo !
 
Timbwili gani sasa hili. Inaonesha Hata kubeba dunia mwenyewe hujawahi. Jaribu Hata kuegemea ukuta Kwa kuinua kichwa. Acheni kuwatia watoto uoga.
 
Kwanza siyo Vifo ni kifo,pili walikwisha sema aliyefariki alikuwa na matatizo ya upungufu wa damu kitu ambacho hata wazazi wake wali kiri tatizo hilo!

upungufu wa damu ilitosha kumuondoa kwenye mazoezi magumu , ina maana kuna uzembe ulikuwepo wakati wa medical examination.
 
Lakini cardiac output au Haemoglobin level vinapimika!!!!
Haya mambo yanachukuliwa kihisia kuliko uhalisia, kama wanapimwa na kuthibitika afya nzuri basi tolerance
itatofautiana ila wote wataweza!!

Kupita inawezekana sio kifahamu inategemea umepita kama nani!!!!
Dhana potofu.
Ufahamu hautegemei cheo au nyadhifa ya mtu isipokuwa rationality, logic na reasoning capacity.


Uko dunia gani wewe?hujasikia waliobakwa,waliokufa,waliovunjika na wengine ambao taarifa zao hazikuripotiwa?My point ni kuwa dhana ya mafunzo ya JKT ni tofauti na yale ya JWTZ,lakini wakufunzi wameshindwa kutofautisha hili.


you're just trying to bit around the bush lakini una-fall back to my point...lazima kuwe na kiwango maalumu cha mazoezi kuendana na ustahilimifu wa mwili. Si kila zoezi gumu linakakamaza,mengi yanaua na kuacha vilema.
 
S
1. Reasoning, logic, rationality ndio zina define wewe ni nani. Ulipita kama nani????!!
2. Unaweza kuamua kujifunza kwa kusoma humu au kwa njia zako au hata ukaamua kuendelea kubisha tu, hicho ulichopitia wewe na wanachofanya hawa ni sehemu ndogo sana ya.unachoita mafunzo ya kijeshi. Yaani kwa akili yako unaamini wakufunzi wanafanya yao "juu ya dhana ya mafunzo" bila hata kuwa wanafuatiliwa, unajua military intel???!!!
3. Kufa na kuvunjika sababu tumejadilia hapo juu rudi soma. Waliobakwa na kuripoti na hakuna kilichofanyika badala ya wewe kulalama weka japo fununu ya tukio mkuu; taarifa hazijaripotiwa ni taarifa zisizokuwepo unless stated otherwise!!!!
4. Mazoezi yote magumu na mepesi yanakakamaza muscle husika flexing and extensing, the load on it and duration are the determinants!!!!! Muscle thickness, bone density, blood supply in relation to sugar and oxygen etc hayo ndio yanataka vipimo sasa ili kujua abnormals, disabled, less abled and tough going individuals!!!!

Bushing around and you keep tailing hunh!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…