Timbers dealer from iringa!

Timbers dealer from iringa!

web engineer

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
55
Reaction score
0
salaam wana jamii,
mimi ni mpasuaji mbao hapa iringa,natafuta wateja wa kununuwa mbao size zote.
bei zangu ni nzuri.
tafadhali tuwasiliane hapa 0653 346 289
asante sana
 
salaam wana jamii,
mimi ni mpasuaji mbao hapa iringa,natafuta wateja wa kununuwa mbao size zote.
bei zangu ni nzuri.
tafadhali tuwasiliane hapa 0653 346 289
asante sana


una nguzo za umeme?
unauzaje bei ya jumla?
 
the Boss,
unatafuta treated poles? mbao ambazo tunazo sasa kwa store ni size ya 2x6,1x8 ,2x4
 
Back
Top Bottom