Kukaja Kununu
JF-Expert Member
- Mar 27, 2017
- 1,075
- 1,204
Mkuu naona inanizingua kupandisha audioHuna mzigo mzima mwana
Ok nimeipata u tubeMkuu naona inanizingua kupandisha audio
Daaaaamn,hiii ngoma ni KareeeeeMsanii pendwa wa muziki aina ya afro pop toka pande za Naija Timaya ametuletea ngoma mpya akiwa amemshirikisha Kingkiba ngoma inaitwa Number one inapatikana kwenye EP inayoitwa Chulo vibes hapa nimekuwekea short clip....enjoy
Kiba amefanya vitu vya mabadiliko sana