nipo DarUpo wapi
nipo Dar
Ungekuwa Iringa ningekupa faster maana ipo tu
si unaweza kutuma?
180k
kama naletewa mi natoa 150k CASH on the spot180k
Cash kama ipo dogo akuletee uhakiki.
Bei ya kuuza 170kkama naletewa mi natoa 150k CASH on the spot
Asante mkuu, asbh njema piaaBei ya kuuza 170k
Chini ya hapo, nikutakie asubuhi njema.
Nicheki mkuu mapema nikupatie ninayo Nipo DarNahitaji line ya uwakala ya MPESA, Kwa haraka sana. maana niliyokuwa natumia imepata matatizo, wateja wangu wanalia.
Mwenye kuweza kunisaidia tafadhali.
Mawasiliano PM
Hivi hizi Till za kununu mitaani siyo hatari kipindi hiki cha "usajili kwa alama za vidole?"