TikTok stars wanakufa vifo vya kushangaza na kushtukiza, vijana kuweni makini

incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
2,229
3,525
Nilikuwa mfuatiliaji wa mtandao wa Tikto, lakini nilichokuja kugundua ni kwamba vifo vya watu waliojipatia umaarufu kwa mtandao huu huwa ni vifo vyenye ushabiliano flani, Yaani huwa wanakufa vifo vya kushtukiza na kushangaza.

Vifo ambavyo huzua hofu naTaharuki na Simanzi kwa wafuasi wao. Mfano Mzuri ni kifo cha Kijana maarufu Nchini Kenya kwa Jina la BRIAN CHIRA, Aliefariki leo asubuhj kwa ajali.

Lakini pia Watanzania tukumbuke mwaka jana tulimzika kijana aliekuwa maarufu kupitia mtandao huohuo ambae kabla ya kifo chake alijitabiria kifo.
 
Hadi February 2024 walikua na 1.5 Billion monthly active users.
Nilikuwa mfuatiliaji wa mtandao wa Tikto, lakini nilichokuja kugundua ni kwamba vifo vya watu waliojipatia umaarufu kwa mtandao huu huwa ni vifo vyenye ushabiliano flani, Yaani huwa wanakufa vifo vya kushtukiza na kushangaza,

Vifo ambavyo huzua hofu naTaharuki na Simanzi kwa wafuasi wao,
Mfano Mzuri ni kifo cha Kijana maarufu Nchini Kenya kwa Jina la BRIAN CHIRA, Aliefariki leo asubuhj kwa ajali,

Lakini pia Watanzania tukumbuke mwaka jana tulimzika kijana aliekuwa maarufu kupitia mtandao huohuo ambae kabla ya kifo chake alijitabiria kifo.
Hawa wawili wanatosha kwenye ushahuda wa ulichosema?
 
Wanafanya sana vitendo vinavyohatarisha afya zao,zaidi sana wanavunja tamaduni mahalia kama kucheza nusu uchi,videos zisizofaa kimaadili etc.

Ukifuatilia kwa ukaribu sana watu wanaopenda kujitafutia sifa mitandaoni hupata uraibu na zile likes na sifa sifa za kijinga so hujitahidi kubuni vitu hata visivyofaa kiusalama na kimaadili.
 
Nilikuwa mfuatiliaji wa mtandao wa Tikto, lakini nilichokuja kugundua ni kwamba vifo vya watu waliojipatia umaarufu kwa mtandao huu huwa ni vifo vyenye ushabiliano flani, Yaani huwa wanakufa vifo vya kushtukiza na kushangaza,

Vifo ambavyo huzua hofu naTaharuki na Simanzi kwa wafuasi wao,
Mfano Mzuri ni kifo cha Kijana maarufu Nchini Kenya kwa Jina la BRIAN CHIRA, Aliefariki leo asubuhj kwa ajali,

Lakini pia Watanzania tukumbuke mwaka jana tulimzika kijana aliekuwa maarufu kupitia mtandao huohuo ambae kabla ya kifo chake alijitabiria kifo.
Ni kweliii kabisa hv vifoo vinatokana na watu kudhibiana kihuwana kutokana ki unyama watu
 
Back
Top Bottom