TikTok mfalme mpya wa mitandao ya kijamii?

MbantuOG

Member
Joined
Mar 7, 2021
Posts
49
Reaction score
33
Ukidhani tu teknolojia fulani imefikia ukomo anakuja mwingine anaboresha kidogo tu na anakua mkubwa.

Lakini kuna tatizo moja naliona kwetu sisi watanzania tuna tabia ya kusema kwamba APP fulani sio ya kutumia watu wa jinsi fulani au APP fulani sio ya kutumia watu wa umri fulani.

Unahisi kuna kitu kama hiko kwanza? (Kwamba app fulani asitumie fulani kwa sababu ni wa jinsia fulani)

Je kuna athari nyingine tunapata kwa kuwa “slow” “ku-adopt” na “ku-assimilate” mambo mapya kwa imani/mitazamo ya mtindo huu?
 
Tusipende kuanzisha uzi kama unakojoa vile . Ifike wakati mtu awe na sababu zaidi ya kumi ili kuanzisha nyuzi . Mambo kama haya ya tik tok muwe mnayajadli ru nyumbani na wanao au mkeo basi
 
Heading hai-reflect content yako. I thought ungeichambua hiyo tik-tok na kuelezea inavyokuwa kubwa.

BTW sio kila app ni suitable kwa kila mtu.
 
Sawa mwanafunzi mtoro nitafuta uzi baada ya muda kidogo unisamehe sana, nitaanda vizuri niuandike tena.
 
Heading hai-reflect content yako. I thought ungeichambua hiyo tik-tok na kuelezea inavyokuwa kubwa.

BTW sio kila app ni suitable kwa kila mtu.

Nilitaka kwenye reply niifanunue TikTok kwa undani, kama ikitokea mtu kaleta swali au angependa kujua kwa undani zaidi. Ningeeleza ila nishakosea itabidi nifute nitaandika upya.
 
Ukidhani tu teknolojia fulani imefikia ukomo anakuja mwingine anaboresha kidogo tu na anakua mkubwa.

Lakini kuna tatizo moja naliona kwetu sisi watanzania tuna tabia ya kusema kwamba APP fulani sio ya kutumia watu wa jinsi fulani au APP fulani sio ya kutumia watu wa umri fulani.

Unahisi kuna kitu kama hiko kwanza? (Kwamba app fulani asitumie fulani kwa sababu ni wa jinsia fulani)

Je kuna athari nyingine tunapata kwa kuwa “slow” “ku-adopt” na “ku-assimilate” mambo mapya kwa imani/mitazamo ya mtindo huu?
Wewe ni Deo Sanga na usibishe
 
Back
Top Bottom