NakubaliYoutube ki kitengo cha watu makini walio na maarifa,youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huw hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Channel yako ilifahamikaje kama hukupiga promo, TikTok huna haja ya promo ndo kinachovutia vijanaYoutube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Tiktok ni mtandao wa kipumbavu sana, umejaa mambo maharibifuYoutube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu
Sina haja ya kuwa na channel, elewa kwamba watu makini na walio na maarifa wako youtube , tiktok kuna watu wa hovyo, na mambo ya hovyo ndio hu trendChannel yako ilifahamikaje kama hukupiga promo, TikTok huna haja ya promo ndo kinachovutia vijana
Youtube ni kisima kikuu sidhani kuna atakaye weza ipiku kwa content kwa miaka hii wala ijayoNilipokuwa nafanya degree yangu Bsc. Course nyingi nilizielewa kupitia YouTube .
Tiktok fananisha na xvideos, vimeo na wengine, youtube hana mshindani kwa aina ya content zakeSubiri uone TikTok atakavyomuinamisha YouTube
Uko sahihi mkuu....hawa form four failure huwa wanadhani mtazamo wao ndio uhalisia. YouTube is there to stay.Youtube ni kitengo cha watu makini walio makini na maarifa, youtube ni source ya maarifa duniani, maarifa huwa hayapelekwi kwa push uzitakazo, maarifa hutafutwa na ayatakayo na huyapata youtube, kamwe youtube haiwezi kufa, anyway mm sina hiyo app ya tiktok, sababu huko creators wake wanaweka tu uchafu wa kunipotezea muda na pesa zangu, kwangu mimi siwezi ishi bila youtube, youtube ndipo nilipopatia jina la mr diy, DIY ndiyo maisha yangu